samhillu12
Member
- Oct 7, 2021
- 94
- 208
Mambo usioyajua kuhusu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Sasa wacha nikufahamishe;-
1.Alizaliwa tarehe 13/04/1922 Butiama na kufariki tarehe 14/10/1999 kule London.Ni Raisi wa kwanza Afrika kuachia madaraka kwa hiari yake mwenyewe.
2.Ni Raisi wa kwanza kuhama Ikulu na kwenda kuishi kwenye nyumba aliyoijenga kwa mkopo akiwa bado Raisi.
3.Ni kati ya Raisi aliyekuwa analipwa mshahara mdogo duniani na pengine kati ya raisi aliyewahi kulipwa mshahara mdogo barani Afrika mpaka sasa.
4. Ni Mtanganyika wa kwanza kusoma chuo kikuu nchini Uingereza na Muafrika wa pili kupata Degree nje ya Afrika, akisomea English, Political Economy, Social Anthropology, British History, Economic History, Constitutional Law, and Moral Philosophy.
5. Ni kiongozi aliyeisaidia China kuingia Umoja wa Mataifa na hotuba yake maarufu akisema
kwamba,"Umoja wa Mataifa si serikali ya dunia bali ni sehemu ambayo dunia nzima inakutana,
kwahiyo kumtoa China katika umoja wa mataifa ni kumtoa kuwa sehemu ya dunia".
6. Ndio mwanzilishi wa harakati za kupinga ubaguzi wa rangi Afrika ya Kusini- Anti Apartheid Movement mwaka 1959 pamoja na Trevor Huddleston nchini Uingereza.
7. Ni mmoja kati ya waanzilishi wa Umoja wa Afrika, 1963.
8. Amezisaidia nchi nyingi za Afrika kupata uhuru kuliko mtu mwingine yoyote katika historia ya ukoloni, nchi hizo ni Zambia (1964), Malawi (1964), Botswana (1966), Lesotho (1966), Mauritius (1968), Swaziland (1968) and Seychelles (1976) na baadae 1975 (Mozambique), (Angola), 1980 (Zimbabwe), 1990
(Namibia) na 1994 (South Africa).
9. Mwaka 2009 alitajwa na raisi wa mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa kama "World Hero of Social Justice".
10. Amepokea shahada mbalimbali kutoka, University of Edinburgh (UK), Duquesne University (USA), University of Cairo (Egypt), University of Nigeria (Nigeria), University of Ibadan (Nigeria), University of Liberia (Liberia), University of Toronto (Canada), Howard University (USA), Jawaharlal Nehru University (India), University of Havana (Cuba), National University of Lesotho, University of the Philippines, Fort Hare University (South Africa),Sokoine University of Agriculture (Tanzania), and Lincoln University (PA, USA).
11. Alipokea Tuzo ya Order of José Marti Cuba 1975, Order of the Aztec Eagle (Collar) Mexico 1975, Order of Amílcar Cabral Guinea Bissau 1976, the Nehru Award for International Understanding in 1976, the Third World Prize in 1982, Order of Eduardo Mondlane
Mozambique 1983, the Nansen Medal for outstanding services to Refugees in 1983, Order of Agostinho Neto Angola 1985, Sir Seretse Khama SADC Medal 1986, Joliot-Curie Medal of Peace 1988, the Lenin Peace Prize in 1987, the International Simón Bolívar Prize in
1992, and the Gandhi Peace Prize in 1995, Statesman of the 20th century by the Chama Cha Mapinduzi 2000, Order of the Companions of O. R. Tambo (Gold) South Africa 2004, Royal Order of Munhumutapa Zimbabwe 2005, Most Excellent Order of the Pearl of Africa (Grand Master) Uganda 2005, Order of Katonga Uganda 2005, National Liberation Medal Rwanda 2009, National Liberation Medal Rwanda 2009, Campaign Against Genocide Medal Rwanda 2009, Order of the Most Ancient Welwitschi Mirabilis Namibia 2010, Tanzania Professional Network Award 2011, Order of Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Tanzania 2011, National Order of the Republic (Grand Cordon) Burundi 2012 and Order of Jamaica, Jamaica.
12. Mwaka 2007 Rais Yoweri Museveni wa Uganda alimpa tuzo ya Katongo, Medali ya juu kuliko zote ya Jeshi la Uganda kwa heshima ya upinzani wake dhidi ya ukoloni na serikali ya Idi Amin.
13. Mitaa, barabara, majengo, vituo, shule, vyuo na vitu vilivyopewa jina lake; Daraja la Nyerere Kigamboni,Julius Nyerere University of Kankan, in Kankan, Guinea, Nyerere Drive,Gaborone (1.6 km) in Botswana, Nyerere Avenue, Mombasa (1.5 km)
and Nyerere Road, Kisumu (2 km) in Kenya, Julius Nyerere Street, Windhoek (1.1 km) in Namibia, Julius Nyerere Street, Durban (0.5 km) in South Africa, Nyerere Road, Kitwe (1.4 km) in Zambia, Julius Nyerere Way, Harare (1 km) in Zimbabwe, Julius Nyerere International Airport, Julius Nyerere International Convention Centre, Nyerere Day- Public Holiday 14/10, Nyerere Cup, Nyerere Road, Unguja, Zanzibar (6.5 km), Nyerere Secondary School in Mwanga District and J.K. Nyerere Secondary School in Moshi, Kilimanjaro Region, Mwalimu J. K. Nyerere Secondary School in Mbozi District, Mbeya Region, Nyerere Memorial School in Korogwe, Tanga Region, Nyerere High School Migoli in Iringa Region, Nyerere Secondary School in Unguja, Zanzibar, Mwalimu Nyerere Foundation, Mwalimu Nyerere Museum Centre and Mwalimu Nyerere Memorial Academy- Tanzania.
14. Baadhi ya vitabu alivyoviandika ni, Freedom and Unity (Uhuru na Umoja), Freedom and Socialism (Uhuru na Ujamaa), The Arusha
Declaration, Education for self-reliance, The varied paths to socialism, The purpose is man, Socialism and development, Freedom and Development (Uhuru Na Maendeleo), Ujamaa, Crusade for Liberation, Education for Self-Reliance, na Uongozi na Hatima ya Tanzania.
15. Pamoja na kujulikana kama - Baba wa Taifa la Tanzania, Nchi za Kusini mwa Afrika zinamtambua kama baba wa Ukombozi wa Nchi za Kusini.
16. Pamoja na kujua lugha ya Kiswahili na Kiingereza kwa Ufasaha - pia alikuwa akifahamu lugha ya Kigiriki na Kilatini.
17. Julius Nyerere ameandikwa kwenye kitabu cha Enyclopia kama mtu pekee duniani katika historia ya karne ya 21, aliyeweza kuwafanya watu wa makabila, dini, asili na historia tofauti kujiona kama watu wamoja.

We mzee wewe 😀😀😀😀Ndahani, Jumbe Brown mnakwitwa huku!
Najua unapenda kuona Tanzania bora. Napenda kuiona Tanzania hiyo hiyo. Tuombeane memqWe mzee wewe 😀😀😀😀
Labda viatu vya JKN vinawabana.Leo ni Kumbukumbu ya Kufa ( Kututoka ) Kwake cha Kushangaza badala ya Mtu kwenda kumuweka Shada Kaburini Kwake anawekewa Shada Mtu mwingine tena aliyekufa mwaka huu.
Naona taratibu sasa mnataka 'Kuififisha' hii Siku yake Muhimu kwa kufanya 'Mautumbo' yenu nje kabisa ya Mukhtaza wa Kumbukumbu ya Kufa ( Kufariki ) Kwake.
Kama mnampenda mno Hayati Magufuli ( japo tunajuana baadhi yenu ni Wanafiki na mmeshukuru kutokuwepo Kwake ) mpaka kumuwekea Mashada kwanini tu basi msitenge Siku yake Maalum lakini siyo Kudandia na kuharibu maana halisi ya Siku ya Nyerere ya leo?
Najua mtakuja na sababu zenu na majibu yenu yenye Utetezi wa Kiitifaki ila GENTAMYCINE sitowaelewa na msipoteze muda wenu Kunifafanulia kwani kiukweli Mmenikera kufanya Tukio siyo katika Siku ya Mtu Muhimu zaidi kwa Taifa letu hili la Tanzania.
Halafu acheni Kutumia Uzee ( Ukongwe ) wa Mjane wake Mama Maria kwa Kumtumia katika Matukio yenu mengine yasiyo na maana ili tu Kutuonyesha kuwa hata Yeye na wana Familia wake Wanaridhika kwa Upuuzi na Unafiki wenu.
Mashada ya Maua kwa Siku ya leo 'Logically' yalipaswa yakawekwe sana pale Mwintongo Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) na siyo Chato Mkoani Geita.
Upuuzi wenu huu wa leo umenikwaza!!!
Jana ilikuwa ni Siku Maalum ( ya Kumbukizi ya Kifo cha Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ) au ni Siku ya Mwenge na Magufuli Day? Pumbavu..!!Shughuli za Mwenge zilipangwa kufanyika Chato sio Butiama. Wacheni nongwa.
Hahahaaaa........ Bavicha wana vituko sana bwashee!Ukitaka kujua leo walikuwa hawana mpango na Nyerere ,
Bavicha wamejimwayamwaya na tisheti za Katiba mpya Butiama hata polisi walikuwa hawajui kitu gani kinaendelea Butiama [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1974005View attachment 1974006
Ni Dharau iliyotukuka na isiyovumilika dhidi ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na inavyoonekana imepangwa Makusudi na kwa Lengo fulani.
Kuna Mtu anaitafuta Kilazima laana ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na asipoangalia itamtafuna vibaya na mambo Kumuharibikia na hatoamini.
Unahitaji Elimu pana kuhusu Laana ya Mtu aliye Hai au Mfu. Watafute Watu wazima wakuelimishe zaidi juu ya nadharia pana ya Laana na jinsi inavyoenda au kukupata.Laana ya Baba wa taifa ??!!, Yeye bado yupo hai ili atoe hiyo laana?? au yeye ni Mungu??!!------- usijiandikie tu bila kutafakari unachoandika.
Ila nakuunga mkono dhidi ya hao walioifanya/walioinajisi Nyerere day na kuifanya Magufuli day, ni utovu wa heshima kwa Baba wataifa.
Kama wameshindwa wananchi wenyewe tupo tayari kwenda front kuazimisha siku ya mwasisi wa taifa kule butiama........waondoe maving'ora yao tutaenda wenyewe hata kwa mguu......Wamemkosea sana baba wa taifa letu.
Hii nchi haina washauri tena.
Hata kama muzimu wa mwendazake zake unawatesa msingemfanya Mwalimu hivo.
Hakika ukifa chako nacho kimekufa, wanamsahau mpigania uhuru wetu mnaenda kutuonesha kaburi la vioo vya aluminium.
Mungu ampe Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kauli dhabiti.
Kila kosa lawama kwa washauri ina maana yeye hajui kuchanganua zuri na baya. Tuseme wazi tu hastahili kuwa Rais kama kila kitu hadi aambiwe nini cha kufanya.Karani ndivyo walivyo Mkuu. HAWAJIAMINI pamoja na katiba kumpa madaraka makubwa sana. Na washauri wake wote ni Wapumbavu tu.
Kuna Mtu nilimpenda, ila sasa basi tena.Wamemkosea sana baba wa taifa letu.
Hii nchi haina washauri tena.
Hata kama muzimu wa mwendazake zake unawatesa msingemfanya Mwalimu hivo.
Hakika ukifa chako nacho kimekufa, wanamsahau mpigania uhuru wetu mnaenda kutuonesha kaburi la vioo vya aluminium.
Mungu ampe Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kauli dhabiti.
Unahitaji Elimu pana kuhusu Laana ya Mtu aliye Hai au Mfu. Watafute Watu wazima wakuelimishe zaidi juu ya nadharia pana ya Laana na jinsi inavyoenda au kukupata.
Upendo wa milele ni kwa mama mzazi tu, others wanabadilika badilika.Kuna Mtu nilimpenda, ila sasa basi tena.
Kuna wale wazazi wanaowaroga watoto wao na kuwatoa kafara na wenyewe wanatakiwa kupendwa......Upendo wa milele ni kwa mama mzazi tu, others wanabadilika badilika.