Tafadhali Viongozi wa sasa kama Mmemchoka na Kumkinai Hayati Mwalimu Nyerere tuambieni tu na siyo kuanza Kumdharau kiasi hiki

Rais Samia acha Kumkosea hivi Nyerere.
Nyerere alikuwa dikteta wakati wa utawala wake kafunga watu wengi na sana ambao walikuwa wanampiga wengine walikimbia nchi huwenda hamkuwepo Nyerere siyo malaika.
 
Hii ulistahili kuiweka kama mada inayojitegemea kuliko kuichomeka kwenye mada hii ndogo.

Mleta mada, please do the needful.
 
ALAFU BADALA YA KUMUENZI NA KUJIVUNIA SIKU YA KUMBUKUMBU YAKE WATU WANAMPUUZIA! Aisee ninechukia sana!
 
CCM huwa inamtupa mtu mazima, umesikia viongozi wanaenda Lupaso?
 
Nyerere alikuwa dikteta wakati wa utawala wake kafunga watu wengi na sana ambao walikuwa wanampiga wengine walikimbia nchi huwenda hamkuwepo Nyerere siyo malaika.
Damn Fool....!!!
 
KINYESI!
 
Tunamsifu ili atuteue au atukumbuke 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…