Wadau, huyu nimemfahamu.....ni tapeli fulani hivi sasa anataka kula vichwa hapa JF. Intelijensia ya Kova isingeelekeza nguvu kuzuia maandamano halali ya Wananchi, watu kama ndio wangekuwa sehemu ya kupandishwa cheo kutokana na utendaji uliotukuka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wizi wa ki-nigeria, moderator ondoa hii kitu na piga burn aliyeleta topic
Wadau, huyu nimemfahamu.....ni tapeli fulani hivi sasa anataka kula vichwa hapa JF. Intelijensia ya Kova isingeelekeza nguvu kuzuia maandamano halali ya Wananchi, watu kama ndio wangekuwa sehemu ya kupandishwa cheo kutokana na utendaji uliotukuka!
Wana JF nina jukumu moja kubwa la kuhamisha hela kutoka benki moja kule Scotland UK ili nizihamishie benki ya hapa Tz tawi moja la NBC. Ni zoezi ambalo limepitia mchakato mrefu kiasi na sasa niko katika hatua ya mwisho ili hela zitumwe. Kinachonikwamisha kufikia sasa ni kwamba natakiwa kumtuma mwanaseria wangu ambaye ameshughulikia hilo suala toka mwanzo ili akasaini documents fulani zinazohusiana na uhamshaji wa hizo hela. Yaani hayo ni masharti ya benki husika kwa mujibu wa sheria za Uingereza. Kiasi cha hela ninachohitaji kwa sasa ni sh. 5m (zingine zipo).
Naomba ieleweke kwamba hiki ni kitu halisi sio utani na documents zote ninazo nasubiri tu kukamilisha kazi iliyobaki hela zituwe. Nilikuwa ninasita kuja hapa maana watu kuamini vitu kama hivi ni ngumu sana unless mnaongea ana kwa ana. Nimejaribu kitafuta hela huku Mbeya nilipo tangu novemba 2013 lakini sijafanikiwa kukamilisha na muda unaenda tu. Kifupi mimi ni mtumishi wa serikali na sina fursa yoyote ya kuomba mkopo maana nimeishatumia kiasi cha pesa kuprocess documents za kuniwezesha kumiliki hiyo hazina.
Naomba wakuu zingatia kwamba nikipata hiyo hela ni zoezi la ndani ya wiki 2 tu ili hela zitumwe. Atakayenisaidia atalipwa hela yake 5m na ziada.ya 5m jumla milioni 10. Zaidi ya hapo tutawasiliana nijue shughuli anazofanya kuna upungufu gani ili nimpe support. Kimsingi nitamfanya awe mdau wangu na kupeana ushauri wa mambo ya kibiashara.
Najua kuwa maelezo yangu yanaacha maswali fulani ya msingi sana lakini nitafafanua kwa yeyote ambaye yuko interested kunisaidia. Kinachotakiwa ni kuni PM ili tuongee biashara au nitafute kwa namba hii 0755144512. Details nitazitoa in private tafadhali. Nawasilisha
Pole sana kwa matatizo yaliyokupata ndg yangu pesa ni kitu kingine kabisa watu sasa hivi wameshapoteza iman watu wanataka uweke kitu rehan akupe hela hapo utapata ila useme mtu akupe tu bila dhamana hapo utachemka
Huyo jamaa ni tapeli tu. Umkopeshe akulipe mara2 ya pesa ko dunia ya wapi hiyo
Kulipwa mara mbili wala haina maneni inategemea ni biashara gani anafanya, mashaka yangu ni kwamba yeye ndiye kalizwa, maana ramani siisomi hapa! Huyo mwanasheria wake yeye kaiogopa deal, maana angeichangamkia faster akakopa hata hiyo pesa, si anauhakika atapata twice in less than a month!
Hakuna kitu kama hicho unachofikiria mkuu. Suala hili haliwahusu wanaijeria kabisa.
MKuu, naomba nikuulize swali moja la msingi; HIYO PESA UNALIPWA KWA AJILI YA NINI (Umefanya biashara na mtu, ni deni unalipwa, ulikuwa mwajiriwa)?, fafanua kidogo hapo mkuu kwa jinsi ulivoiweka naona kama unataka kuibiwa au umeshaibiwa tayari! Funguka tuone kama tunaweza kupigana tafu!
MKuu, naomba nikuulize swali moja la msingi; HIYO PESA UNALIPWA KWA AJILI YA NINI (Umefanya biashara na mtu, ni deni unalipwa, ulikuwa mwajiriwa)?, fafanua kidogo hapo mkuu kwa jinsi ulivoiweka naona kama unataka kuibiwa au umeshaibiwa tayari! Funguka tuone kama tunaweza kupigana tafu!
Kulipwa mara mbili wala haina maneni inategemea ni biashara gani anafanya, mashaka yangu ni kwamba yeye ndiye kalizwa, maana ramani siisomi hapa! Huyo mwanasheria wake yeye kaiogopa deal, maana angeichangamkia faster akakopa hata hiyo pesa, si anauhakika atapata twice in less than a month!
Kuna jamaa kule Morogoro (SUA) aliingia mkenge huu huu wa hawa matapeli, 2008. Alitakiwa alipie na alilipa Tshs million 21 kama gharama za kuhamisha pesa( dollar 3bn) kutoka benki moja kule South Africa kuja kwenye akaunti yake CRDB. Hadi leo hajapokea hela yoyote kutoka SA zaidi ya kulipa madeni (sababu pesa aliyowatumia alikopa benki) na kupata stroke. Jihadhari, chukua hatua!Wana JF nina jukumu moja kubwa la kuhamisha hela kutoka benki moja kule Scotland UK ili nizihamishie benki ya hapa Tz tawi moja la NBC. Ni zoezi ambalo limepitia mchakato mrefu kiasi na sasa niko katika hatua ya mwisho ili hela zitumwe. Kinachonikwamisha kufikia sasa ni kwamba natakiwa kumtuma mwanaseria wangu ambaye ameshughulikia hilo suala toka mwanzo ili akasaini documents fulani zinazohusiana na uhamshaji wa hizo hela. Yaani hayo ni masharti ya benki husika kwa mujibu wa sheria za Uingereza. Kiasi cha hela ninachohitaji kwa sasa ni sh. 5m (zingine zipo).