Tafadhali wadau naomba mnisaidie 5m Tshs nikakomboe hazina

Status
Not open for further replies.
100% interest very interesting... Lete hati ya nyumba au kiwanja mkuu ... Quid pro quo
 

Ndugu ningekuwa nimeishatapeliwa hadi sasa hakuna anayemtapeli mwenzake wala anayetapeliwa katika suala hili.
 
Last edited by a moderator:
Walewale kwenye e mail mtu kafa nitakuhamishia pesa leta acc no ukitoa tu umekwisha katafute vijijini waliolala hupati mtu kana ni wewe pole umeliwa mjomba amka

Kama unayofikiria mi kweli sawa lakini suala hili liko tofauti kabisa.
 
Achana na waswahili waoga watakuchosha...fanya hivi nirushie kama 870,000 hivi ili ifanikishe kupata hiyo hela toka kwenye SACCOSS yetu hapa kurasini .ukiwa interested ni pm tumalize hii biashara kwa maandishi
 
Naomba mnifundishe lugha ya kuongea ili uaminike kuwa unachoongea ni cha kweli. Mingetumia lugha ipi?
 
Achana na waswahili waoga watakuchosha...fanya hivi nirushie kama 870,000 hivi ili ifanikishe kupata hiyo hela toka kwenye SACCOSS yetu hapa kurasini .ukiwa interested ni pm tumalize hii biashara kwa maandishi

Ha ha ha daah mkuu umenipunguzia stress za BRN maana tangu asubuhi nilikua nimenuna tu...nimecheka sana aisee...
 
Very Simple,we njoo Unguja utapewa pesa bila tatizo.
Mbona pesa ndogo sana hizo,halafu utachagua gari ya kutumia na utapakiliwa mpaka bandarini na kuanza kutumia Dar ili wanaochonga wakukome muuza sura.
Halafu kila mwezi unakuja kuchukua mshahara bila hata kufanya kazi.Na ukitaka kuishi huku utapewa nyumba ya kuishi

Kuna watu kazi zao kuwalea watu wenye kutaka mkato wa maisha kama nyie
 
Hii hadithi yako inaonekana kama imekaa ki nigeria hivi. If you are not careful enough, utalizwa.
 
Zaidi ya hapo tutawasiliana nijue shughuli anazofanya kuna upungufu gani ili nimpe support. Kimsingi nitamfanya awe mdau wangu na kupeana ushauri wa mambo ya kibiashara.
Unatukana watu, unatukana akili za watu.

Utanipaje support katika katika shughuli ninazofanya na kunipa ushauri wa kibiashara wakati wewe ndio uko miguu juu huna kitu, mimi ninaekukopesha wewe ndio nipewe ushauri wa maisha na wewe? Wewe unaetembeza bakuli saa hizi utakuwaje na mawazo bora zaidi ya wale unaowatembezea bakuli? Tumia hayo mawazo ya biashara unayotaka kunipa mimi uka raise hiyo milioni 5.
 

Hivi huu utapeli wa kis...ge bado upo mpaka sasa. Ila mtu mwenyewe ni mwalimu wa huko mbeya vijijini lazima ni mwalimu. Tena wa primary. Huyu ameshaingizwa mikononi mwa mnaigeria . Najua amepata email au barua ikimtaka afanye hivyo. Hiyo si deal . Pole kama umeshaliwa kidogo
 
Duu inatisha sana.
Wadau mpo huyo jamaa ni tapeli anajaribu kuuza hoja ambane mtu humu..ligo tenda hiyo..
 


Hii imekaa kitapeli sana, niliposoma msg nimeona imefanana na zile za kwenye email umeliwa au wewe tapeli
 

mkuu hapo kwenye red umewatukana waalim wetu wapendwa wasio na hatia.
 
Vipi haujapata muda wa kuniinbox mkuu, au deal ishachukuliwa?
 
BAADA YA KUFANYA NINAVYOWEZA NIMEGUNDUA YAFUATAYO KWA HUYU JAMAA YETU:

1.HIYO NAMBA YA SIMU ALIYOIWEKA HAPO HATA HAIJASAJILIWA.

2.HAYUPO MKOANI MBEYA NA HAJAWAHI KUISHI NJE YA NCHI.

3.NAMBA HIZO HAZIWI HEWANI MARA KWA MARA ZINAKUWA ZINATUMIKA MARA NYINGI ANAPOWATAFUTA WATU WAKE ANAODHANI ANAWEZA KUWATAPELI.

4.ANAYO NAMBA NYINGINE YA MTANDAO MWINGINE NDIO ANAYOITUMIA NA IMESAJIRIWA.

5.NIMEFANIKIWA KUPATA IMEI YA SIMU YAKE ANAYOTUMIA KWA HIYO ANAFAHAMIKA ALIPO.

6.MFUMO RASMI WA AJIRA HAUMTAMBUI.

wakuu nitarudi kwa mengineyo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…