Harold Mputa
Member
- Nov 17, 2013
- 36
- 5
Mwacheni atepeliwa mwenyewe mjinga huyu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaaaa. Ndugu CORAL unajifanya mteule kama wana Israel? Kuokota mana kila siku asubuhi? Usilogwe kutuma pesa huko ndugu. Hata senti moja. Utalia vibaya. Kuna tajiri mmoja huko Tukuyu alilizwa vibaya na watu waliojifanya wako Uingereza. Sasa karudi kijijini analima ndizi na kahawa.
Achana na waswahili waoga watakuchosha...fanya hivi nirushie kama 870,000 hivi ili ifanikishe kupata hiyo hela toka kwenye SACCOSS yetu hapa kurasini .ukiwa interested ni pm tumalize hii biashara kwa maandishiWana JF nina jukumu moja kubwa la kuhamisha hela kutoka benki moja kule Scotland UK ili nizihamishie benki ya hapa Tz tawi moja la NBC. Ni zoezi ambalo limepitia mchakato mrefu kiasi na sasa niko katika hatua ya mwisho ili hela zitumwe. Kinachonikwamisha kufikia sasa ni kwamba natakiwa kumtuma mwanaseria wangu ambaye ameshughulikia hilo suala toka mwanzo ili akasaini documents fulani zinazohusiana na uhamshaji wa hizo hela. Yaani hayo ni masharti ya benki husika kwa mujibu wa sheria za Uingereza. Kiasi cha hela ninachohitaji kwa sasa ni sh. 5m (zingine zipo).
Naomba ieleweke kwamba hiki ni kitu halisi sio utani na documents zote ninazo nasubiri tu kukamilisha kazi iliyobaki hela zituwe. Nilikuwa ninasita kuja hapa maana watu kuamini vitu kama hivi ni ngumu sana unless mnaongea ana kwa ana. Nimejaribu kitafuta hela huku Mbeya nilipo tangu novemba 2013 lakini sijafanikiwa kukamilisha na muda unaenda tu. Kifupi mimi ni mtumishi wa serikali na sina fursa yoyote ya kuomba mkopo maana nimeishatumia kiasi cha pesa kuprocess documents za kuniwezesha kumiliki hiyo hazina.
Naomba wakuu zingatia kwamba nikipata hiyo hela ni zoezi la ndani ya wiki 2 tu ili hela zitumwe. Atakayenisaidia atalipwa hela yake 5m na ziada.ya 5m jumla milioni 10. Zaidi ya hapo tutawasiliana nijue shughuli anazofanya kuna upungufu gani ili nimpe support. Kimsingi nitamfanya awe mdau wangu na kupeana ushauri wa mambo ya kibiashara.
Najua kuwa maelezo yangu yanaacha maswali fulani ya msingi sana lakini nitafafanua kwa yeyote ambaye yuko interested kunisaidia. Kinachotakiwa ni kuni PM ili tuongee biashara au nitafute kwa namba hii 0755144512. Details nitazitoa in private tafadhali. Nawasilisha
Achana na waswahili waoga watakuchosha...fanya hivi nirushie kama 870,000 hivi ili ifanikishe kupata hiyo hela toka kwenye SACCOSS yetu hapa kurasini .ukiwa interested ni pm tumalize hii biashara kwa maandishi
Unatukana watu, unatukana akili za watu.Zaidi ya hapo tutawasiliana nijue shughuli anazofanya kuna upungufu gani ili nimpe support. Kimsingi nitamfanya awe mdau wangu na kupeana ushauri wa mambo ya kibiashara.
Wana JF nina jukumu moja kubwa la kuhamisha hela kutoka benki moja kule Scotland UK ili nizihamishie benki ya hapa Tz tawi moja la NBC. Ni zoezi ambalo limepitia mchakato mrefu kiasi na sasa niko katika hatua ya mwisho ili hela zitumwe. Kinachonikwamisha kufikia sasa ni kwamba natakiwa kumtuma mwanaseria wangu ambaye ameshughulikia hilo suala toka mwanzo ili akasaini documents fulani zinazohusiana na uhamshaji wa hizo hela. Yaani hayo ni masharti ya benki husika kwa mujibu wa sheria za Uingereza. Kiasi cha hela ninachohitaji kwa sasa ni sh. 5m (zingine zipo).
Naomba ieleweke kwamba hiki ni kitu halisi sio utani na documents zote ninazo nasubiri tu kukamilisha kazi iliyobaki hela zituwe. Nilikuwa ninasita kuja hapa maana watu kuamini vitu kama hivi ni ngumu sana unless mnaongea ana kwa ana. Nimejaribu kitafuta hela huku Mbeya nilipo tangu novemba 2013 lakini sijafanikiwa kukamilisha na muda unaenda tu. Kifupi mimi ni mtumishi wa serikali na sina fursa yoyote ya kuomba mkopo maana nimeishatumia kiasi cha pesa kuprocess documents za kuniwezesha kumiliki hiyo hazina.
Naomba wakuu zingatia kwamba nikipata hiyo hela ni zoezi la ndani ya wiki 2 tu ili hela zitumwe. Atakayenisaidia atalipwa hela yake 5m na ziada.ya 5m jumla milioni 10. Zaidi ya hapo tutawasiliana nijue shughuli anazofanya kuna upungufu gani ili nimpe support. Kimsingi nitamfanya awe mdau wangu na kupeana ushauri wa mambo ya kibiashara.
Najua kuwa maelezo yangu yanaacha maswali fulani ya msingi sana lakini nitafafanua kwa yeyote ambaye yuko interested kunisaidia. Kinachotakiwa ni kuni PM ili tuongee biashara au nitafute kwa namba hii 0755144512. Details nitazitoa in private tafadhali. Nawasilisha
Hivi huu utapeli wa kis...ge bado upo mpaka sasa. Ila mtu mwenyewe ni mwalimu wa huko mbeya vijijini lazima ni mwalimu. Tena wa primary. Huyu ameshaingizwa mikononi mwa mnaigeria . Najua amepata email au barua ikimtaka afanye hivyo. Hiyo si deal . Pole kama umeshaliwa kidogo
hivi huu utapeli wa kis...ge bado upo mpaka sasa. ila mtu mwenyewe ni mwalimu wa huko mbeya vijijini lazima ni mwalimu. Tena wa primary. huyu ameshaingizwa mikononi mwa mnaigeria . Najua amepata email au barua ikimtaka afanye hivyo. Hiyo si deal . Pole kama umeshaliwa kidogo