Ozzie
JF-Expert Member
- Oct 9, 2007
- 3,217
- 1,261
Hahahahahaaaa. Ndugu CORAL unajifanya mteule kama wana Israel? Kuokota mana kila siku asubuhi? Usilogwe kutuma pesa huko ndugu. Hata senti moja. Utalia vibaya. Kuna tajiri mmoja huko Tukuyu alilizwa vibaya na watu waliojifanya wako Uingereza. Sasa karudi kijijini analima ndizi na kahawa.
Last edited by a moderator: