pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Omena kwenye mkahawa si itakuwa ni majanga? Omera hiyo kitu inapikagwa na wataalamu buana. Hiyo kitu ukila na Ugali na kachumbari, kama huna uzoefu baada ya hapo kunakuwaga na uwezekano mkubwa sana kwamba utazima kiasi. Kama friji. 😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeiona list nikajua nitakuta 'umeena'
kwani inaweza levya mutu?Omena kwenye mkahawa si itakuwa ni majanga? Omera hiyo kitu inapikagwa na wataalamu. Hiyo kitu ukila na Ugali na kachumbari, kama huna uzoefu baada ya hapo kunakuwaga na uwezekano mkubwa sana kwamba utazima kiasi. Kama friji. 😀
kama huna jambo la maana la kusema ni bora ufyate mdomo wako...Hahaha alafu mnasema nyie ni Brits kumbe hata kuandika English nayo ni mzozo
Shibe jombaa. Hadi unasahau jina lako. Yaani Omena unasafirisha Ugali. We acha tu. [emoji23]kwani inaweza levya mutu?
MakandeGeteri ni nn??
Niaje msupa nimelike hizo mawetete kwa avatar ya yours.Napenda sana accent ya wakenya.... especially wakiwa wanabonga kiswahili
Pingli bytha Kikuria na kikisii tofauti ni gani....mimi huskia ni kama lugha zao ni same kuWAtofautisha huwa nashindwa.Shibe jombaa. Hadi unasahau jina lako. Yaani Omena unasafirisha Ugali. We acha tu. [emoji23]
Usijaribu kuwaambia hivo live wote ni watu wa hasira za haraka. They sound the same pronounciation of words and all but Kuria is different, there is a way Kisiis flow. Batuuunyaarireee! [emoji23]Pingli bytha Kikuria na kikisii tofauti ni gani....mimi huskia ni kama lugha zao ni same kuWAtofautisha huwa nashindwa.
Kenyan swahili dialects pia ziko mob tofauti...Napenda sana accent ya wakenya.... especially wakiwa wanabonga kiswahili
Haha hapo ni noma sana..Usijaribu kuwaambia hivo live wote ni watu wa hasira za haraka. They sound the same pronounciation of words and all but Kuria is diffrent, they is a way Kisiis flow. Batuuunyaarireee! [emoji23]
Msupere usiwe hivo jo. Hizo mahaga zimeninywaku na straw, tena ile mbaya! Ka ziko hivo si vako, nimeteveva! [emoji7][emoji7][emoji7]
Lakni kuna utofauti wa kukosea kuongea au kutamka na kuandika! Hapo kama hicho ni kiswahili inamana aliyekua anamfundisha kuandika kiswahili ndo alikosea.Umeonaa eeh? Hatw hapa kwetu watu kibao wanakikosea kisw...... zaidi nenda huko vijijin ukakutane na wale watu waliosoma na kukomea madarasa ya chini utacheka sana!
Especially southern na south east states like Mississippi...dialect yao ni very strong than nothern states..Hivi ni strong dialect
Au ni strong accent?
We kweli kilaza hata maana ya lahaja hujui
Americans speak strong dialect hahaha dumb as rock
Leave the sad bugger alone. He doesn't even understand what he is talking about. 🙂Especially southern na south east states like Mississippi...dialect yao ni very strong than nothern states..
We hujawahi kuona mkuu watu wanavyoandikaga Kiswahili hata huku uraiani wala si kutamka tuLakni kuna utofauti wa kukosea kuongea au kutamka na kuandika! Hapo kama hicho ni kiswahili inamana aliyekua anamfundisha kuandika kiswahili ndo alikosea.
Na kama wakenya wote wanaandika kiswahili cha hivyo basi wanatuharibia kiswahili!
Unaowasema wa uko vijijini hawako hivyo, Ila anaweza akakosea kuongea lakini si kuandika labda asijue kusoma na kuandika
MakandeGeteri ni nn??