Tafadhali Wakenya Msituharibie Lugha Yetu

Tafadhali Wakenya Msituharibie Lugha Yetu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeiona list nikajua nitakuta 'umeena'
Omena kwenye mkahawa si itakuwa ni majanga? Omera hiyo kitu inapikagwa na wataalamu buana. Hiyo kitu ukila na Ugali na kachumbari, kama huna uzoefu baada ya hapo kunakuwaga na uwezekano mkubwa sana kwamba utazima kiasi. Kama friji. 😀
 
Omena kwenye mkahawa si itakuwa ni majanga? Omera hiyo kitu inapikagwa na wataalamu. Hiyo kitu ukila na Ugali na kachumbari, kama huna uzoefu baada ya hapo kunakuwaga na uwezekano mkubwa sana kwamba utazima kiasi. Kama friji. 😀
kwani inaweza levya mutu?
 
Hiyo lugha mbona ni kama ya watu wa mikoani waliyozea lugha za makabila na siyo kiswahili fasaha...

Cc: mahondaw
 
Shibe jombaa. Hadi unasahau jina lako. Yaani Omena unasafirisha Ugali. We acha tu. [emoji23]
Pingli bytha Kikuria na kikisii tofauti ni gani....mimi huskia ni kama lugha zao ni same kuWAtofautisha huwa nashindwa.
 
Pingli bytha Kikuria na kikisii tofauti ni gani....mimi huskia ni kama lugha zao ni same kuWAtofautisha huwa nashindwa.
Usijaribu kuwaambia hivo live wote ni watu wa hasira za haraka. They sound the same pronounciation of words and all but Kuria is different, there is a way Kisiis flow. Batuuunyaarireee! [emoji23]
 
Usijaribu kuwaambia hivo live wote ni watu wa hasira za haraka. They sound the same pronounciation of words and all but Kuria is diffrent, they is a way Kisiis flow. Batuuunyaarireee! [emoji23]
Haha hapo ni noma sana..
ni mandugu wa karibu hao
 
Umeonaa eeh? Hatw hapa kwetu watu kibao wanakikosea kisw...... zaidi nenda huko vijijin ukakutane na wale watu waliosoma na kukomea madarasa ya chini utacheka sana!
Lakni kuna utofauti wa kukosea kuongea au kutamka na kuandika! Hapo kama hicho ni kiswahili inamana aliyekua anamfundisha kuandika kiswahili ndo alikosea.
Na kama wakenya wote wanaandika kiswahili cha hivyo basi wanatuharibia kiswahili!
Unaowasema wa uko vijijini hawako hivyo, Ila anaweza akakosea kuongea lakini si kuandika labda asijue kusoma na kuandika
 
Hivi ni strong dialect
Au ni strong accent?

We kweli kilaza hata maana ya lahaja hujui

Americans speak strong dialect hahaha dumb as rock
Especially southern na south east states like Mississippi...dialect yao ni very strong than nothern states..
 
Lakni kuna utofauti wa kukosea kuongea au kutamka na kuandika! Hapo kama hicho ni kiswahili inamana aliyekua anamfundisha kuandika kiswahili ndo alikosea.
Na kama wakenya wote wanaandika kiswahili cha hivyo basi wanatuharibia kiswahili!
Unaowasema wa uko vijijini hawako hivyo, Ila anaweza akakosea kuongea lakini si kuandika labda asijue kusoma na kuandika
We hujawahi kuona mkuu watu wanavyoandikaga Kiswahili hata huku uraiani wala si kutamka tu
 
Back
Top Bottom