Tafadhali zingatia vigezo hivi unapoanzisha mada ya kutafuta Mke/Mume

Tatizo uaminifu upo? Na kupenda kweli kupo sio una date end of day unatoa siri yako mtu ana kukimbia......
 
PENDEKEZO
1. Mtu anayetafuta mke/mume awe serious. Kama ataleta utani na "IKATHIBITIKA" kwamba anacheza na hisia za watu apewe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine.Hii pia itasaidia kukomesha tabia za kijinga.
 
Mim napata shida kumtafuta MTU price PM
 
Wasisahau kuweka vyama vyao vya siasa.

Unaweza kukuta mtafuta mwenza ni li mtu la ccm. Hawakawìi kukusaliti watu wa ccm.
 
Samahani viongozi naomba kusaidiwa kufuta post niliikosea msaada pls
 
6: wale wanaotafutwa waache tabia ya kukimbilia PM wakijifanya kuw singo kumbe ni mke/ mme wa mtu,,,, nakufanya mtaftaji aizarau JF nzima,,,,,,,. naomba wachukuliwe hatua kali ikiwezekana watajwe majina yao hadharani ili kukomesha tabia hyo.
Fact
 
PM MAANA YAKE NI JIONI YAAN POST MERIDIAN. sasa basi akisema tukutane pm maana yake ni jioni wendeumejitayarisha kabisa kama uko serious, ivo tu basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…