Tafadhali zingatia vigezo hivi unapoanzisha mada ya kutafuta Mke/Mume

Apa huenda nikapata sasa kilio kimesikika Jf
 
Natafuta mwanamke ,mpenzi ,mchumba.
Mimi sifa yangu kubwa awe na hofu ya Mungu,na asiwe kibonge tafadhari.

Mimi ni mweusi,mwenye urefu wa wastani..si mrefu na wala si mfupi,mkristukwa dini

Amabae yuko tayari,tafdhari and anicheki email: benjaminson1421@gmail.com
 
Kwa wale wote ambao wanatafuta wenza, hasa kwenye nyuzi nazofungua mimi nawaomba tafadhalini sana, acheni mzaha, kama huhitaji mwenza basi tulia, acha wale wenye shida waje, wewe unanifata na kuandika maneno yasiyofaa, huo sio ustaarabu.
 
NI kweli,na kebehi juu
 
Vumilia tu mkuu mtaka cha uvunguni sharti ainame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…