Tafadhali zingatia vigezo hivi unapoanzisha mada ya kutafuta Mke/Mume

Tafadhali zingatia vigezo hivi unapoanzisha mada ya kutafuta Mke/Mume

Habari WanaJF,

Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu tabia ya baadhi ya wanachama kufanya mzaha kwa watu wanaotafuta wenza wa maisha kwenye jukwaa hili la LOVE CONNECT.

Tunashauri Jukwaa hili litumiwe kwa malengo kusudiwa. Mtu mzima hapangwi.

Kwa wanaotafuta wenza, tunawakumbusha kuzingatia dondoo zifuatazo;

Dondoo za kuzingatia kabla hujatuma ombi la kutafuta mwenza:

  1. Eleza sifa za unayemuhitaji za nje na ndani, zikihusisha vitu kama umri, umbo, dini, upendavyo (walau hints), kazi na hata uraia.
  2. Hakikisha hizo sifa ulizotaja za unayemuhitaji na wewe pia umeainisha zako.
  3. Kama mwenye sifa unazohitaji yupo JF, tafadhali mtumie ujumbe binafsi (PM).
  4. Toa contacts walau e-mail address na sio mawasiliano ya namba za simu.
- Na mengineyo ya muhimu.

View attachment 348427
Apa huenda nikapata sasa kilio kimesikika Jf
 
Natafuta mwanamke ,mpenzi ,mchumba.
Mimi sifa yangu kubwa awe na hofu ya Mungu,na asiwe kibonge tafadhari.

Mimi ni mweusi,mwenye urefu wa wastani..si mrefu na wala si mfupi,mkristukwa dini

Amabae yuko tayari,tafdhari and anicheki email: benjaminson1421@gmail.com
 
Kwa wale wote ambao wanatafuta wenza, hasa kwenye nyuzi nazofungua mimi nawaomba tafadhalini sana, acheni mzaha, kama huhitaji mwenza basi tulia, acha wale wenye shida waje, wewe unanifata na kuandika maneno yasiyofaa, huo sio ustaarabu.
 
NI kweli,na kebehi juu
 
Vumilia tu mkuu mtaka cha uvunguni sharti ainame
 
Back
Top Bottom