Elections 2015 Tafadhari sana, kumchafua Lowassa kwa uongo iwe mwisho

Elections 2015 Tafadhari sana, kumchafua Lowassa kwa uongo iwe mwisho

luckyline

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2014
Posts
15,160
Reaction score
21,676
Wakuu salaam,
ndugu wana jf busara itumike mtu anapokuja hapa janvini kumchafua lowasa kwa uongo.

Kama una chuki binafsi tafadhari sana mfate lowassa personary lakini sio kuja hapa kupotosha uma.

Ninajua kuna watu walikuwa kwenye system na lowasa na ndo wale wale wanaokuja hapa kutoa uongo, nawashauri mfateni muongee au mpigieni simu muyamalize sio mtu anakuja hapa na point zisizokuwa na miguu wala kichwa kumponda lowasa.

Kama hupendi ukawa/chadema ni ruksa kuponda ila sio kuponda mtu as if wewe unamjua lowasa kuzidi mungu wake. Mfano mtu anakuja hapa kusimulia eti lowasa ni mgojwa na anasimulia as if yeye ndo mke wa lowasa au mtu analeta uongo kuhusu richmond mnasahau kuwa lowasa hakuwa ofsin peke yake, ndo maana yeye akitaka kujibu anajibu sentensi moja tu lakini yenye maana. Mfano "mwenye ushahidi dhidi yangu apeleke mahakamani" je kama kuna ushahidi mbona wanaimba weeee as if mahakamani hawapajui? Usilolijua ni kama usiku wa giza kama hjui nyamaza achana kabisa na lowasa.

Ninatoa taadhari iwe mwisho kuponda uongo uliokithiri, mfano mimi namjua magufuli mpaka kwake ila sijawai kuja hapa nasema uongo sijui yuko ivi na vile, mara nyingi napenda kuponda chama kwa ujumla. Mfano naweza kusema mwaka huu mtaisoma no, au ccm lazima ife etc, ila sio kumdhalilisha mtu ili muonekane mnamjua lowasa kuliko mungu.

Siku zote ogopa mtu mpole lowasa ni mpole by nature na siku akifunguka sijui nyuso zenu mtazificha wap?

Kuna msemo mmoja kuwa " mawindoni mbwa umfukuza sungura ila ukiona sungura kamfukuza mbwa ujue kuna hatari" acheni mungu atende yake who knows????

Mwisho, natoa taadhari achana na lowasa kabisa ukiona huwezi nyamaza maana soon yatawatokea puani. Mambo ya kujitoa akiri as if lowasa akiwa raisi hamtaendelea kuishi tanzania ni akiri finyu.
Baada ya october kuna maisha zaidi ya haya na tanzania itaendelea kuwa tanzania, mengine yote ni mapito.

MUNGU MBARIKI LOWASA
MUNGU IBARIKI UKAWA NA WANA UKAWA WOTE
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
acha mkuu wampe credits.
mti wenye matunda haukosi makovu ya kupopolewa na watamanio kile kilichobebwa na huo mti
 
acha mkuu wampe credits.
mti wenye matunda haukosi makovu ya kupopolewa na watamanio kile kilichobebwa na huo mti

ndio mkuu ila ujumbe uwafikie waleee ninaowajua personally, maana wameishi nae ndani ya chama akiwa mzuri leo kuja chadema kwa mbaya??
 
Wanajisumbua. Sasa hivi wanakomaa na ishu ya dini, wanadhani watanzania hawajui lowassa ni mtu wa namna gani. Wanapoteza muda malofa
 
ndio mkuu ila ujumbe uwafikie waleee ninaowajua personally, maana wameishi nae ndani ya chama akiwa mzuri leo kuja chadema kwa mbaya??

Sasa yatosha kwa mhe.Lowassa,na sheria ya mtandao ifanye kazi kwa maajenti wa mashetani wanaomchafua Rais wetu Lowassa
 
Mabadiliko lowasaaa... Lowasa mabadilikoooo... Twende na lowasa kwa mabadiliko ya kweli na uhakika.
 
Luckyline, you really need a lot of luck

thanks mkuu. Kuna watu nawajua na nina imani uzii huu watapita ole wao wapite hapa kwa matusi ndo watanijua mm ni mdada wa aina gani.
 
WAMEISHIWA NA HOJA WAMEBAKIA NA MATUSI,HILA,UKANDA,UKABILA HASA KWA SASA NDIPO CCM ILIPOSIMAMIA.....
hakuna pa kukanyagia...!
->>wanatapatapa kwanza kabla ya kukata roho! huu ndio utaratibu wa mfu yeyote!!
 
Haya Maneno Ungeanza Kuyasema Miaka 8 Iliyopita Wkt Mbowe Na Wenzake Walipoanza Kutuaminisha Na Kutuelewesha Ufisadi Wa Lowassa...Kama Kweli Ulikua Na Nia Ya Dhat Kuyasema Haya Usingeanza Leo Ungeyasema Haya Tangu Alivokuwa Ccm Maana Hizi Kashfa Kwake Hazikuanza Leo Wala Jana..Na Kama Uongo Yeye Mwenyewe Mbna Hajakana Wewe Nani Yake Mke Wake Wa 2 Au?
 
kutetea mafisadi kazi sana sijui kama utaweza kufanya kazi hii uliyopewa.
 
ccm wameishiwa saizi kazi nashangaa kuona swala anapanda ndege hoo nashangaa sijui nn mnaiba harafu nashangaaa mm nasema atakaye wapa ccm kura atakuwa kweli mpumbavu na lofa kama alivyosema mkuu
 
wanalalamika et nec wamekula njama na chadema kwamba anapotoka makufuli kujinadi lowassa anafunika na wakati waliyataka,tuliwaambia lowassa kwenye hii game ni master mkabisha
 
Lowassa ndio chaguo letu... tushaamua..

Hakuna wa kumzuia...!!!
 
Ma si si emu yameshamaliza silaha yao ya dini sasa yana weza na kuja na silaha kama iliyomweka ndani babu seya!.
 
Mungu yuko upande wetu mwaka huu.Mungu mlinde Lowassa afikie malengo yake
 
Kupenda ni shida!. lakini usilolijua ni sawa na usiku wa giza hata yeye anayo moyoni usiyoyajua
 
Back
Top Bottom