luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
Wakuu salaam,
ndugu wana jf busara itumike mtu anapokuja hapa janvini kumchafua lowasa kwa uongo.
Kama una chuki binafsi tafadhari sana mfate lowassa personary lakini sio kuja hapa kupotosha uma.
Ninajua kuna watu walikuwa kwenye system na lowasa na ndo wale wale wanaokuja hapa kutoa uongo, nawashauri mfateni muongee au mpigieni simu muyamalize sio mtu anakuja hapa na point zisizokuwa na miguu wala kichwa kumponda lowasa.
Kama hupendi ukawa/chadema ni ruksa kuponda ila sio kuponda mtu as if wewe unamjua lowasa kuzidi mungu wake. Mfano mtu anakuja hapa kusimulia eti lowasa ni mgojwa na anasimulia as if yeye ndo mke wa lowasa au mtu analeta uongo kuhusu richmond mnasahau kuwa lowasa hakuwa ofsin peke yake, ndo maana yeye akitaka kujibu anajibu sentensi moja tu lakini yenye maana. Mfano "mwenye ushahidi dhidi yangu apeleke mahakamani" je kama kuna ushahidi mbona wanaimba weeee as if mahakamani hawapajui? Usilolijua ni kama usiku wa giza kama hjui nyamaza achana kabisa na lowasa.
Ninatoa taadhari iwe mwisho kuponda uongo uliokithiri, mfano mimi namjua magufuli mpaka kwake ila sijawai kuja hapa nasema uongo sijui yuko ivi na vile, mara nyingi napenda kuponda chama kwa ujumla. Mfano naweza kusema mwaka huu mtaisoma no, au ccm lazima ife etc, ila sio kumdhalilisha mtu ili muonekane mnamjua lowasa kuliko mungu.
Siku zote ogopa mtu mpole lowasa ni mpole by nature na siku akifunguka sijui nyuso zenu mtazificha wap?
Kuna msemo mmoja kuwa " mawindoni mbwa umfukuza sungura ila ukiona sungura kamfukuza mbwa ujue kuna hatari" acheni mungu atende yake who knows????
Mwisho, natoa taadhari achana na lowasa kabisa ukiona huwezi nyamaza maana soon yatawatokea puani. Mambo ya kujitoa akiri as if lowasa akiwa raisi hamtaendelea kuishi tanzania ni akiri finyu.
Baada ya october kuna maisha zaidi ya haya na tanzania itaendelea kuwa tanzania, mengine yote ni mapito.
MUNGU MBARIKI LOWASA
MUNGU IBARIKI UKAWA NA WANA UKAWA WOTE
MUNGU IBARIKI TANZANIA.