ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,436
- 4,756
Nimeweka Kakura Kadogo Hapo Kaende Pamoja na Swali Letu
Je kwa Upande wa Nchi yetu na Changamoto zetu,Je CCM Ndio Tatizo au Wana CCM Ndio Tatizo?
Kama CCM Ndio tatizo Kikibadilishwa Jana Utakuwa sawa tuendelee kutawaliwa kama tulivyo?
Kama Wana CCM Ndio tatizo Je Tukiwaondo wote na kisha waingie wanachadema au watu wengine utakubali waendelee kututawala kama ilivyo?
Kama ni Matendo yao Je Unafikir Tukiindoa CCM na Wana CCM Haya Matendo wataondoka nayo?
Je wana CCM wakihamia UPINZANI na kuipinga serikali ya CCM Utawaunga mkono?
Je wapinzani wakihamia CCM na Kuiunga mkono serikali Utawapinga?
Je ni nini Hasa kikifanyika na CCM utakubali waendelee kututawala?