TAFAKARI MPYA : Ali kiba ni mwanamziki Daimondi ni msanii

Huwa unaenda club za wapi mkuu? Kidogo trace ipo namba 2,
Kwenye charts za bbc extra uk top 100 world wide ipo nafasi ya 30
Kwenye world music hart nigeria iko namba 2
Kwenye chart za jamaica/ carribian ipo namba 2
Kwenye chart za sweden african charts ipo namba 4

 
Vipi kuhusu lupela......na kidogo bado inakimbiza ata ukiangalia TV huwezi kuikosa sema unajitoa ufahamu iv.....tueleze kuhusu lupela ipo wapi
Wenyewe wanakwambia nyimbo za kiba zinadumu wakati LUPELA haijaishi hata mwezi mmoja hapa duniani ikazikwa
 
hivi hizi habari za kuwafananisha hao jamaa zitaisha lini?
too much aisee. leteni posts zingine
 
Umemaliza
 
Sio kwamba zikikaa masikion mwako,ukjua na jiran yako ndivyo....
Chenza liitwe chenza na chungwa liitwe chungwa...

Diamond is an international musician Alikiba will remain being a local one......

Talking too much about the either altenative ni sawa na kujitekenya mwenyewe na kisha kucheka.....
 
Hivi ukisema kidogo ni kama imepotea unakuwa unatumia reference zipi? TV stations ngapi unafatilia, radio, clubs ngapi unaingia? nyimbo usipoipenda wewe haimaanishi haifanyi vizuri kwasababu we sio "the line of standards" vipi nikikuambia aje pia haifanyi vizuri kutokana na mihemko yangu tu? Okay nyimbo za kiba zipi zinaishi, mwana, lupela, na ile nyingine inaitwaje sijui speaking of nyimbo zilizotolewa after kiba kurudi kwenye game. Kindly answer my questions, utofautishe facts na mihemko.
 
Me binafsi sijawahi kumwona au kumsikia dimond akiimba na live band??anaweza kweli???
 
Huyu jamaa humu huwa anapondwa sana na inaonekana wengi hawamkubali ila kinachonishangaza thread nyingi zinaanzishwa kumhusu sijajua kwa nini..kwanini anaongelewa sana kama hawezi ..
 
Huyu jamaa humu huwa anapondwa sana na inaonekana wengi hawamkubali ila kinachonishangaza thread nyingi zinaanzishwa kumhusu sijajua kwa nini..kwanini anaongelewa sana kama hawezi ..
my friend remember that "Always Strong denial is actually an Affirmation"...
 
Ali kiba ni kama mwanafunzi mwenye mwandiko mzuriii darasani lakini hana akili.
Weny mwandko mzur wanapata marks za bure afu wali weny akil lakn mwandko km umetambaliwa na mend wanaishia kuchaniwa mitihan yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…