Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
nimekukumbusha wapi mkuuUmenikumbusha mbali sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nahuu ndio ukweli japokua mchungu kumeza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimekukumbusha wapi mkuuUmenikumbusha mbali sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nahuu ndio ukweli japokua mchungu kumeza
Huwa unaenda club za wapi mkuu? Kidogo trace ipo namba 2,Kiukweli dimond ni msanii mburudishaji tu
Kiba ye ni mwanamuziki haswaa
Dimond anatoa nyimbo hazidumu wakati kiba anatoa nyimbo zinakaa sana masikioni mwa watu
AJE bado inatamba sana ukienda clubs kwenye studio televisheni lakini kidogo iliyotoka hivi karibuni ni kama imepotea bado aje inaenda sawa na waache waoane ya chege
Wenyewe wanakwambia nyimbo za kiba zinadumu wakati LUPELA haijaishi hata mwezi mmoja hapa duniani ikazikwaVipi kuhusu lupela......na kidogo bado inakimbiza ata ukiangalia TV huwezi kuikosa sema unajitoa ufahamu iv.....tueleze kuhusu lupela ipo wapi
ExcellentAli kiba ni kama mwanafunzi mwenye mwandiko mzuriii darasani lakini hana akili.
Kiba ni sawa na ferre gola na diamond ni sawa na fally ipupa,,,,hawa watu kuna vitu ambavyo wanatofautiana sana tu
UmemalizaAli kiba ana mzidi diamond sauti, kwa kweli hilo ni kweli
Ila sasa domo ana mzidi Kiba the rest, kama ifutavyo.
Composing/kutunga
Cariography/kupafom
Dressing/kutupia
Marketing/masoko
Management/menejiment
Communications/mawasilioano hasa matumiz ya mitandao na ku connect na washabiki
Exposure/domo kaiona dunia sehemu nyingi kuliko Kiba.
Domo kwa vitu alivo mzidi kiba ni vingi sanaa, na sio ajabu kwa kuwa hata barnaba, belle 9 na Ben pol na hata Jux wana mzidi mbali domo kwa sauti nzuri.
"Hivo Ali Kiba ni mwimbaji mzuri kuliko Domo ila siyo, msanii mzuri wala mwanamuziki(si ajabu wote si wanaamuziki wazuri pia) kuliko domo, kwa kuwa ili uwe msanii au mwana muziki mzuri kuna combined factors lazma ziwepo.
*wote wana fanya fresh lakin ndo uzuri
*haya ni mawazo yangu tuu, marekebisho yata pokelewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ali kiba ni kama mwanafunzi mwenye mwandiko mzuriii darasani lakini hana akili.
Hahhahaaaa i like that.. kwa hiyo anasifiwa darasani na kuambiwa aandike ubaoni lakini mitihani anafeliAli kiba ni kama mwanafunzi mwenye mwandiko mzuriii darasani lakini hana akili.
Sio kwamba zikikaa masikion mwako,ukjua na jiran yako ndivyo....Kiukweli dimond ni msanii mburudishaji tu
Kiba ye ni mwanamuziki haswaa
Dimond anatoa nyimbo hazidumu wakati kiba anatoa nyimbo zinakaa sana masikioni mwa watu
AJE bado inatamba sana ukienda clubs kwenye studio televisheni lakini kidogo iliyotoka hivi karibuni ni kama imepotea bado aje inaenda sawa na waache waoane ya chege
Hivi ukisema kidogo ni kama imepotea unakuwa unatumia reference zipi? TV stations ngapi unafatilia, radio, clubs ngapi unaingia? nyimbo usipoipenda wewe haimaanishi haifanyi vizuri kwasababu we sio "the line of standards" vipi nikikuambia aje pia haifanyi vizuri kutokana na mihemko yangu tu? Okay nyimbo za kiba zipi zinaishi, mwana, lupela, na ile nyingine inaitwaje sijui speaking of nyimbo zilizotolewa after kiba kurudi kwenye game. Kindly answer my questions, utofautishe facts na mihemko.Kiukweli dimond ni msanii mburudishaji tu
Kiba ye ni mwanamuziki haswaa
Dimond anatoa nyimbo hazidumu wakati kiba anatoa nyimbo zinakaa sana masikioni mwa watu
AJE bado inatamba sana ukienda clubs kwenye studio televisheni lakini kidogo iliyotoka hivi karibuni ni kama imepotea bado aje inaenda sawa na waache waoane ya chege
my friend remember that "Always Strong denial is actually an Affirmation"...Huyu jamaa humu huwa anapondwa sana na inaonekana wengi hawamkubali ila kinachonishangaza thread nyingi zinaanzishwa kumhusu sijajua kwa nini..kwanini anaongelewa sana kama hawezi ..
Weny mwandko mzur wanapata marks za bure afu wali weny akil lakn mwandko km umetambaliwa na mend wanaishia kuchaniwa mitihan yaoAli kiba ni kama mwanafunzi mwenye mwandiko mzuriii darasani lakini hana akili.