Tafakari namna Kigwangalla alivyowadhalilisha watendaji chini yake, kunyimwa Uwaziri ni adhabu ya kumtosha?

M! Nina mashaka, mwenza wa kigwa nae pia ni daktari nadhani, ataendaje kutafuta dawa za chango KWA mganga wa kienyeji??
hujawahi sikia kuwa mganga hajigangi mzee? Huko kwa waganga wa kienyeji ukienda asilimia kubwa ya wateja wao ni maprofesa wa medicine.
 
Alimdhalilisha pia na dokta mwaka kisa...
Ile ya kumuandama Dr mwaka niliishuhudia lkn sikujua kisa mpaka leo
alipoenda Mali asili akatuhumu wanaowaua wanyama wa porini na wao wauawe, kwanini asile mweleka na L/Cruiser porini
 
Huyu jamaa siyo kijana. 45 yrs mnamuita kijana? Mimi na wasiwasi jamaa kama si early 50s basi ni mid 50s. Kwanza jina na vyeti kafoji na umri pia huenda

Ukisikia mtu anasema Kigwangalla ni kijana, basi yeye atakuwa 70+.
 
Reactions: BAK
Umesahau pia kwamba alimla mchepuko wa mtela mwambapa ambaye alisababisha mtela kutimuliwa Kisarawe.
 
Kumbukeni lakini kuwa yeye ni Mnyamwezi, jamii moja ya watu washamba hapa Tanzania na ndiyo maana sitaki kabisa kusikia mtu ananiita mimi Mnyamwezi kisa nimeishi majuu. Nasema sitaki!
 
Umesahau pia kwamba alimla mchepuko wa mtela mwambapa ambaye alisababisha mtela kutimuliwa Kisarawe.
Huyu Queen angeolewa rasmi tu na jamaa afumbe macho, mm nataka nijitose jamani, msikose kunichangia
Lkn mnyamwezi hakunifurahisha kabisa pale alipoanza kukwaruzana na Dr Mwaka
sanamu la Baba wa Taifa
kutaka kuwateketeza wanaotaka kuwaua wanyama pori
na lile la J Makamba kuhusu, vigari vya kupanda Mlima km kule Mombo ili vipande Mlima Kilimanjaro, ule mradi ilibidi usimame kabisa na leo hatimaye nimeona Naibu Waziri wa Utalii amelifufufua kupitia BBCSwahili
 
Reactions: BAK
Ila.mchungaji msigwa...eti mtalii mkubwa ni Steve nyenyeyere ... Na ndege ilikodiwa....
 
Alikuwa active kwenye ujinga waziri mzima kutwa kuzurura na kina tivu akeee na sheta dasheta dasheta okeee!!
Hana lamaana zaidi ya kugombana na bodi,katibu,askari nk.
Sidharau lkn sijaonaga hamisi akifanya la maana hapa duniani zaidi ya kunyoa kiduku na kujiita hans
 
Kila la heri Mkuu πŸ™πŸ½
 
Kila la heri Mkuu πŸ™πŸ½
vipi wanakuja wasiojulikana, nikikuona wamekuanza ntajua safari hii haurudi nami nasepa Twitter
au ni kwa Mkuu wa wilaya? na baada ya michango msisogee, maana bado viti maalum na ..
 
Reactions: BAK
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
vipi wanakuja wasiojulikana, nikikuona wamekuanza ntajua safari hii haurudi nami nasepa Twitter
au ni kwa Mkuu wa wilaya? na baada ya michango msisogee, maana bado viti maalum na ..
 
Apa Mimi Nina swali hivi kabla ajachaguliwa uwaziri hapo mwanzo alikuwa anafujo mtandaoni Kama tulivyokuwa tunaziona alivyokuwa waziri?[emoji848][emoji848]
 
Apa Mimi Nina swali hivi kabla ajachaguliwa uwaziri hapo mwanzo alikuwa anafujo mtandaoni Kama tulivyokuwa tunaziona alivyokuwa waziri?
sana tu na humu yumo, kabla ya Nzega kugombea na kukwaruzana na Mh Bashe alitokea alitokea kwa Madaktari wanafunzi wa Muhimbili, waliparuzana na Bashe kuhusu Uraia mpaka walipoligawa Jimbo la Nzega, akapata Vijijini, kaongoza mapambano mengi tu na malumbano mitandaoni sana tu huyu jamaa kuanzia udaktari mpaka dhahabu ya Nzega.
Kosa la mitandaoni sijaliona namtetea maana hata Trump kaongoza vivyo hivyo lkn matokeo ndio hayo wanakujua wengi ukianguka basi lkn usishangae akarudi kuukwaa tena uwaziri km kina Simbachawene
 
Mnamaanisha huyuhuyu mpiga zoezi?
Sasa huo mzaha sio mzaha? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Juzi nilipishana na Kigwangala pale shoperz plaza mbezi amepungua sana na macho yake yamejaa simanzi yumkini hayupo sawa kiafya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…