Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,130
- 6,097
Unatumia VPN eti???Napenda sana kuona kigogo akimtania Kingwa [emoji23][emoji23][emoji23] Eti " keeping fit "
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatumia VPN eti???Napenda sana kuona kigogo akimtania Kingwa [emoji23][emoji23][emoji23] Eti " keeping fit "
hujawahi sikia kuwa mganga hajigangi mzee? Huko kwa waganga wa kienyeji ukienda asilimia kubwa ya wateja wao ni maprofesa wa medicine.M! Nina mashaka, mwenza wa kigwa nae pia ni daktari nadhani, ataendaje kutafuta dawa za chango KWA mganga wa kienyeji??
Ile ya kumuandama Dr mwaka niliishuhudia lkn sikujua kisa mpaka leoAlimdhalilisha pia na dokta mwaka kisa...
Acha hii tabia ndugu, sio nzuri kabisa.Alimtoa pia kafara Hamza Temba. Kama uwongo aje apinge hapa.
Huyu jamaa siyo kijana. 45 yrs mnamuita kijana? Mimi na wasiwasi jamaa kama si early 50s basi ni mid 50s. Kwanza jina na vyeti kafoji na umri pia huenda
Huyu kijana aliwahi kufunga geti ya wizara kudhibiti wachelewaji akawadhalilisha watendaji wa afya bila kuwasikiliza walikuwa na matatizo gani makwao.
Aliwahi mdhalilisha mzee mmoja Askari tena kwenye mahafali natumai mbele ya familia yake kisa amekosa ukakamavu wa kiaskari. Amewahi kuwadhalilisha wananchi kwenye operesheni za misitu na hifadhi akiwa na kombati Kama Askari kabisa. Aliwahi mtunishia misuli Katibu Mkuu wa wizara yake.
Leo hii inabainika alikuwa anapiga piga na helkopta ya umma na kutumia mafuta ya umma huku akilipwa. Inabainika alitumia vibaya fedha za umma kulipa wasanii.
Alistahili zaidi ya kunyimwa uwaziri, alipaswa kufika Kisutu sema ndo hivyo ni mkubwa.
Mkuu mmepangwa na RB Leipzig mtakoma
Kumbukeni lakini kuwa yeye ni Mnyamwezi, jamii moja ya watu washamba hapa Tanzania na ndiyo maana sitaki kabisa kusikia mtu ananiita mimi Mnyamwezi kisa nimeishi majuu. Nasema sitaki!Huyu kijana aliwahi kufunga geti ya wizara kudhibiti wachelewaji akawadhalilisha watendaji wa afya bila kuwasikiliza walikuwa na matatizo gani makwao.
Aliwahi mdhalilisha mzee mmoja Askari tena kwenye mahafali natumai mbele ya familia yake kisa amekosa ukakamavu wa kiaskari. Amewahi kuwadhalilisha wananchi kwenye operesheni za misitu na hifadhi akiwa na kombati Kama Askari kabisa. Aliwahi mtunishia misuli Katibu Mkuu wa wizara yake.
Leo hii inabainika alikuwa anapiga piga na helkopta ya umma na kutumia mafuta ya umma huku akilipwa. Inabainika alitumia vibaya fedha za umma kulipa wasanii.
Alistahili zaidi ya kunyimwa uwaziri, alipaswa kufika Kisutu sema ndo hivyo ni mkubwa.
Umesahau pia kwamba alimla mchepuko wa mtela mwambapa ambaye alisababisha mtela kutimuliwa Kisarawe.
View attachment 1650085Huyu Queen angeolewa rasmi tu na jamaa afumbe macho, mm nataka nijitose jamani, msikose kunichangia
Lkn mnyamwezi hakunifurahisha kabisa pale alipoanza kukwaruzana na Dr Mwaka
sanamu la Baba wa Taifa
kutaka kuwateketeza wanaotaka kuwaua wanyama pori
na lile la J Makamba kuhusu, vigari vya kupanda Mlima km kule Mombo ili vipande Mlima Kilimanjaro, ule mradi ilibidi usimame kabisa na leo hatimaye nimeona Naibu Waziri wa Utalii amelifufufua kupitia BBCSwahili
![]()
Mt Kilimanjaro: Tanzania kuanzisha usafiri wa angani katika mlima huo - Ni usafiri gani huo? - BBC News Swahili
Tanzania inataka kuongeza idadi yake ya watalii kupitia magari ya kutumia nyaya katika mlima Kilimanjaro , ambao ndio mrefu zaidi barani Afrikawww.bbc.com
vipi wanakuja wasiojulikana, nikikuona wamekuanza ntajua safari hii haurudi nami nasepa TwitterKila la heri Mkuu 🙏🏽
vipi wanakuja wasiojulikana, nikikuona wamekuanza ntajua safari hii haurudi nami nasepa Twitter
au ni kwa Mkuu wa wilaya? na baada ya michango msisogee, maana bado viti maalum na ..
Apa Mimi Nina swali hivi kabla ajachaguliwa uwaziri hapo mwanzo alikuwa anafujo mtandaoni Kama tulivyokuwa tunaziona alivyokuwa waziri?[emoji848][emoji848]Huyu kijana aliwahi kufunga geti ya wizara kudhibiti wachelewaji akawadhalilisha watendaji wa afya bila kuwasikiliza walikuwa na matatizo gani makwao.
Aliwahi mdhalilisha mzee mmoja Askari tena kwenye mahafali natumai mbele ya familia yake kisa amekosa ukakamavu wa kiaskari. Amewahi kuwadhalilisha wananchi kwenye operesheni za misitu na hifadhi akiwa na kombati Kama Askari kabisa. Aliwahi mtunishia misuli Katibu Mkuu wa wizara yake.
Leo hii inabainika alikuwa anapiga piga na helkopta ya umma na kutumia mafuta ya umma huku akilipwa. Inabainika alitumia vibaya fedha za umma kulipa wasanii.
Alistahili zaidi ya kunyimwa uwaziri, alipaswa kufika Kisutu sema ndo hivyo ni mkubwa.
sana tu na humu yumo, kabla ya Nzega kugombea na kukwaruzana na Mh Bashe alitokea alitokea kwa Madaktari wanafunzi wa Muhimbili, waliparuzana na Bashe kuhusu Uraia mpaka walipoligawa Jimbo la Nzega, akapata Vijijini, kaongoza mapambano mengi tu na malumbano mitandaoni sana tu huyu jamaa kuanzia udaktari mpaka dhahabu ya Nzega.Apa Mimi Nina swali hivi kabla ajachaguliwa uwaziri hapo mwanzo alikuwa anafujo mtandaoni Kama tulivyokuwa tunaziona alivyokuwa waziri?![]()
![]()

MmhWatenda maovu wana bahati sana hapa Tz hawatukanwi sana..Nikiangalia jamaa alisema Mkoa wangu wa Dar hata hatukanwi😂