MWANALUGALI
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 601
- 34
Wanahabari hao hao waliojilipua na JK nimewasikia mara nyingi wakikemea wananchi wachache wenye njaa wanaouza haki yao ya uraia kwa tshirt na kanga. Leo wameniacha nieduwaa, nimekata tamaa, sitakaa niamini tena watakachokisema (wote wale waliouliza maswali kwa JK)
What's up with hii kwamba TV zote zimeonesha hii kampeni event ya kilaza Kikwete na wakati walichunia za Slaa (na Lipumba)?
Unajua Mungu humfichua mwovu na uovu wake, sasa ile ya DR Slaa pamoja na kurushwa na TV station moja impact yake ilikua kubwa sana na ilikua positive, na hii iliyorushwa na TV karibu 5 ni kama amejitahidi kuwafikia watu wengi waone jinsi alivyo miyeyusho ingawa ye alitaka kuwaweka sawa, imekula kwake.
I was surprised our journalists could not address/ask Kikwete the real astonishing issues of the nation...it was badly....
Ule mdahalo ulikuwa umepangwa. Ni upuuzi mtupu.
Mbona waandishi wa magazeti kama MWANANCHI na MWANAHALISI hawakuwepo wala kupewa kuuliza maswali.
Kweli mdahalo wa Kikwete ulikuwa ni MAIGIZO YA ABUNUWAS.
Msema kweli ni kesho. HATUDANGANYIKI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
.Huwa najiuliza Masoud kipanya wa enzi za Mkapa aliishia wapi? au alishaahidiwa kupewa ukuu wa wilaya? Nini kilimtokea jana mpaka akachora ile katuni?
Nasikitika mchoraji nadhani ana chuki ya binafsi kwa Kikwete. Kanzu inashiria nini? Mbona hukuchora picha ya Dr Slaa na rozari yake? Tujitafakari nafsi zetu.
Hahaha.. Yaani wamechagua Media house zao, wakachagua na waandishi wao kudadeki ili kueneza propaganda zao, na bado mkwere asivyobebeka akaanza kutupa story zake na washkaji wake wa kizungu wanavokuja kujenga muhimbili na mambo km hayo' je hela yetu inayoliwa na wajanja vipi? mbona unawasapoti watu walio kwenye kesi za ufisadi kwenye kampeni? na yale matundu ya vyoo kule bagamoyo? Maisha bora ni vijana kuuza grocery?? Mkwere embu tuambie vizuri au unazeeka mkuu!!
9c picture aisee!!
Alisema ni vigumu kuiba kura kulingana na utaratibu uliowekwa, lakini hakuelezea ule wa vituo feki au hewa hauzuiliwi na utaratibu huo. Wizi unapangwa kuanzia NEC na sio kituoni. Ukiwa na dhamira ya wizi haizuiliwi na utaratibu, mambo ya kwamba kasoro zinatokea kwenye kujumlisha tu ni danganya toto hizo, maana uzoefu uemshaonesha hayo tayari. By the way huu sio uchaguzi wa kwanza hapa nchini.Kati ya maswali aliyojibu Jk kwa ufasaha ni lile kuhusu WASIWASI WA KURA KUIBIWA!
Pamoja na maelezo yake yote juu ya swali hilo, jibu la msingi alisema hivi...........Uwezekano upo wa kuiba kura kama mawakala wa vyama hawatakuwa makini....,...Binadamu ana akili nyingi sana .... hivyo inawezekana....Tafakari!
Hahaha.. Yaani wamechagua Media house zao, wakachagua na waandishi wao kudadeki ili kueneza propaganda zao, na bado mkwere asivyobebeka akaanza kutupa story zake na washkaji wake wa kizungu wanavokuja kujenga muhimbili na mambo km hayo' je hela yetu inayoliwa na wajanja vipi? mbona unawasapoti watu walio kwenye kesi za ufisadi kwenye kampeni? na yale matundu ya vyoo kule bagamoyo? Maisha bora ni vijana kuuza grocery?? Mkwere embu tuambie vizuri au unazeeka mkuu!!
9c picture aisee!!