MWANALUGALI
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 601
- 34
Wanahabari hao hao waliojilipua na JK nimewasikia mara nyingi wakikemea wananchi wachache wenye njaa wanaouza haki yao ya uraia kwa tshirt na kanga. Leo wameniacha nieduwaa, nimekata tamaa, sitakaa niamini tena watakachokisema (wote wale waliouliza maswali kwa JK)
wewe kanunue DSTV kama mimi, utapunguza presha na kuangalia ujinga wa hawa jamaa!!!! mimi siku hizi naangalia tv za majuu pekee hasa citizen ya Kenya