Elections 2010 Tafakari picha hii na linganisha na mdahalo wa leo

Elections 2010 Tafakari picha hii na linganisha na mdahalo wa leo

Wanahabari hao hao waliojilipua na JK nimewasikia mara nyingi wakikemea wananchi wachache wenye njaa wanaouza haki yao ya uraia kwa tshirt na kanga. Leo wameniacha nieduwaa, nimekata tamaa, sitakaa niamini tena watakachokisema (wote wale waliouliza maswali kwa JK)

wewe kanunue DSTV kama mimi, utapunguza presha na kuangalia ujinga wa hawa jamaa!!!! mimi siku hizi naangalia tv za majuu pekee hasa citizen ya Kenya
 
What's up with hii kwamba TV zote zimeonesha hii kampeni event ya kilaza Kikwete na wakati walichunia za Slaa (na Lipumba)?

Unajua Mungu humfichua mwovu na uovu wake, sasa ile ya DR Slaa pamoja na kurushwa na TV station moja impact yake ilikua kubwa sana na ilikua positive, na hii iliyorushwa na TV karibu 5 ni kama amejitahidi kuwafikia watu wengi waone jinsi alivyo miyeyusho ingawa ye alitaka kuwaweka sawa, imekula kwake.
 
Huo ni mtazamo wako
Mtazamo wa wapiga kura utauona soon...... JUST FEW HOURS TO GO
 
zumbemkuu, hapo tofauti na ule umwinyi sio kubwa sana, ila ni staili tu mpya na nadharia inabaki vile vile.
 
I was surprised our journalists could not address/ask Kikwete the real astonishing issues of the nation...it was badly....

Wengi wao walini bow sana ila kuna swali Ephraim Kibonde (Clouds FM) Alimuuliza JK na halikujibiwa ipaswavyo pale ndipo nilikasilika maana swali lile lilikuwa limejaaa maswali zaidi ya mawili ndani yake.

Swali aliloulizwa JK kama sijakosea Ukiingia Madarakani Hebu tupe taswila sahii ya Serikali yako na jinsi utakavyo mwandaaa yule utake mwachia.

Na JK alilika 50 Meters na hakujibu akaishia nijibu nini sasa hapo.

Kibonde alitaka kujua
1: Mfomo wa Baraza lake la mawaziri?
2: Serikali yake itawajibika kiasi gani kwa wananchi?
3: Nani atakuwa Mrithi wake baada ya muda wake kuisha?

Ule mdahalo ulikuwa umepangwa. Ni upuuzi mtupu.

Mbona waandishi wa magazeti kama MWANANCHI na MWANAHALISI hawakuwepo wala kupewa kuuliza maswali.
Kweli mdahalo wa Kikwete ulikuwa ni MAIGIZO YA ABUNUWAS.
Msema kweli ni kesho. HATUDANGANYIKI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Angealika watu hawa kuuliza wangemuumbua. Ndio maana walikuwa wamejaa wazee ambao kazi yao ni kusikiliza. Hakunaga mdahalo kama huu. Hawa jamaa wamechakachua hadi mdahalo duu!. Kazi ipo. Mungu tusaidie.
 
Walikwepo akina Stalin, Hitler, walianguka sembuse huyu Juma Kilaza, yeye ni nani ktk historia ya ulimwengu huu hana jipya, jpili lazima tumpige chini.
 
Nasikitika mchoraji nadhani ana chuki ya binafsi kwa Kikwete. Kanzu inashiria nini? Mbona hukuchora picha ya Dr Slaa na rozari yake? Tujitafakari nafsi zetu. Kila kiongozi ana mapungufu yake. Tangu wa awamu ya kwanza mpaka ya nne. nadhani hata wewe ungeachiwa kuongoza yangekupata yale yale. Kumbuka Kikwete si muumini kamili wa dini yake, ndio maana anahudhuria tafrija za makanisani. je Marehemu Julius alipokea lini Msahafu Msikitini? Wewe nidio itafakari nafsi yako, nadhani hujakamilika mwa-JK. Uchaguzi mwema!
Ahungu
 
.Huwa najiuliza Masoud kipanya wa enzi za Mkapa aliishia wapi? au alishaahidiwa kupewa ukuu wa wilaya? Nini kilimtokea jana mpaka akachora ile katuni?

Picha ile imechorwa na GADO.....si Kipanya
 
Nasikitika mchoraji nadhani ana chuki ya binafsi kwa Kikwete. Kanzu inashiria nini? Mbona hukuchora picha ya Dr Slaa na rozari yake? Tujitafakari nafsi zetu.

Kwanini hukufikiria labda ile nguo ni bazee la kiNigeria au kiKongoman? Kwani kuna sehemu kaandika ile ni Kanzu? Wewe ndo unataka kupotosha. Jitafakari NAFSI yako kwanza
 
Kati ya maswali aliyojibu Jk kwa ufasaha ni lile kuhusu WASIWASI WA KURA KUIBIWA!
Pamoja na maelezo yake yote juu ya swali hilo, jibu la msingi alisema hivi...........Uwezekano upo wa kuiba kura kama mawakala wa vyama hawatakuwa makini....,...Binadamu ana akili nyingi sana
.... hivyo inawezekana....Tafakari!
 
PINDA UBAVU MDOGO KWA JOSEPHINE.
kweli sikio la kufa halisikii dawa...ndivyo waswahili walivyosema..kwani harakati za kikikomboa chama cha mapinduzi mkoani iringa zinaonekana kukwama kabisa ambapo leo katika mjini mdogo wa makambako waziri mkuu pinda alikuwa anafanya mkutano katika uwanja wa polisi...
gafla ilionekana helcopter ya slaa ikielekea stendi ambapo ilikuwa ikienda kumchukua mchumba wa mheshimiwa wilbroad slaa, Josephine mushumbusi.. umati wa watu kuona helcopter wakajua dr slaa karudi tena na leo hivyo kupelekea kuanza kukimbila maenea ya stendi ilipokuwa ikielekea chopper hiyo huku wakivua t-shirts za CCM na kuweka kofia mifukoni.
ndani ya dakika tano uwanja ulikuwa mweupe..gari za polisi zikatumwa kumkamata ila helcopter ilishambeba FIRST LADY na kunyanyuka...
sasa IVI PINDI YUPO ANANGOJA WATU WARUDI UWANJANI
 
Hahaha.. Yaani wamechagua Media house zao, wakachagua na waandishi wao kudadeki ili kueneza propaganda zao, na bado mkwere asivyobebeka akaanza kutupa story zake na washkaji wake wa kizungu wanavokuja kujenga muhimbili na mambo km hayo' je hela yetu inayoliwa na wajanja vipi? mbona unawasapoti watu walio kwenye kesi za ufisadi kwenye kampeni? na yale matundu ya vyoo kule bagamoyo? Maisha bora ni vijana kuuza grocery?? Mkwere embu tuambie vizuri au unazeeka mkuu!!

9c picture aisee!!

J.K's performance, in spite of selecting journalists who are pro him, for that press conference, was pathetic and miserable. Talking of his daughter training as a dentist and wandering into Songea were so off tangent and laughable. Shame!!!!!!!!!!
 
ASHA MTWANGI!! You appeared completely unprofessional! It was all shame to see a presidential candidate answering non-spontaneous questions, with non-spontaneous answers! Tumegundua sababu ya Makamba kuogopa mdahalo. He was right to defend this weak and weary candidate.
 
Kati ya maswali aliyojibu Jk kwa ufasaha ni lile kuhusu WASIWASI WA KURA KUIBIWA!
Pamoja na maelezo yake yote juu ya swali hilo, jibu la msingi alisema hivi...........Uwezekano upo wa kuiba kura kama mawakala wa vyama hawatakuwa makini....,...Binadamu ana akili nyingi sana
.... hivyo inawezekana....Tafakari!
Alisema ni vigumu kuiba kura kulingana na utaratibu uliowekwa, lakini hakuelezea ule wa vituo feki au hewa hauzuiliwi na utaratibu huo. Wizi unapangwa kuanzia NEC na sio kituoni. Ukiwa na dhamira ya wizi haizuiliwi na utaratibu, mambo ya kwamba kasoro zinatokea kwenye kujumlisha tu ni danganya toto hizo, maana uzoefu uemshaonesha hayo tayari. By the way huu sio uchaguzi wa kwanza hapa nchini.
 
Back
Top Bottom