Hotuba ya kwanza ya Lissu ilikuwa jana. Basi kama ilivyo kwa makombora tulitegemea majibu thabiti kutokea ule upande mwingine.
"Kinyume chake kumepiga kimyaaaa!"
Kwa kimya kingi hiki ni wazi kuwa:
1. Mama hana uungwaji wowote mkono kwenye huku alikotufikisha na hali hii ya maisha, ikiwamo bei za vyakula ambazo sasa ni za juu mno.
2. Mama hana uungwaji mkono wowote kuhusiana na wingi wa tozo na kodi kwa watu.
3. Mama hana uungwaji mkono wowote kwenye matumizi na utumbuaji wa kufuru unaofanywa na walioko madarakani, almaarufu walamba asali.
4. Mama hana uungwaji mkono kwenye lolote jipya kwamba kuna tumaini la kuirekebisha hali iliyopo.
Izingatiwe Mh. Lissu kawasemea watanzania wa daraja zote (bila kuwasahau chawa wa Mama), labda isipokuwa wale wanaolamba asali. Ambapo ni wazi kuwa sote ni wahanga tu.
Mh. Lissu ameonyesha katiba mbovu tuliyo nayo ndiyo inayotoa mianya iliyotudidimizia huku kusikofaa.
Habari hIzi zimfikie Mama Samia kokote aliko: "tunataka kutoka huku."
Tunataka katiba mpya sasa.