Nimewasikiliza G55 kwa makini wana hoja za msingi wanazotoa na dhana nzima ya No Reform No election na changamoto za no election kama mkakati wa utekelezaji. Nimemsikiliza TL kuhusu dhana na utekelezaji wake. Kwa maoni yangu zao la utekelezaji limebuniwa na kuzalisha njia mbalimbali za kufikia malengo.
Hapa njia zote pande mbili zina mantinki muhimu kaeni chini wote bila kubagazana ili mfanye mapitio na tathmini ya utekelezaji. kinachokosekana ni kuheshimiana na mawazo ya pande zote kuyaweka mezani mkapima hasara na faida ya kila upande.
Hiyo ni kazi ya uongozi bila kujali huyu alikuwa upande gani wa kampeni, angalieni mawazo na siyo mtu au upande unaotoa hapo mtafaulu. jioni njema