Hivi kama na rula vyote vinanyoosha mstari au mimi ndio sielewi.
Hoja ni nzuri sana tena sana japo kwa mtazamo wangu naona imechelewa kidogo. Hii ingepenyezwa wakati wa Mwamba ingewezekana lkn kwa sasa wa TAML sioni kama kutakua na compromise yoyote.
Ninachokiona mimi ni kwamba hao g55 dublicate wanambip Lissu, dhana hiyo alivyokuwepo boss wao mpendwa iliwekwa mezani na kati yao hakuna aliyepinga hata kidogo katika hatua za awali, why ije kwenye utekelezaji,
LISU MPAKA TUONGEE KIEBRANIA NDIO ULEGEZE KAMBA, huku sasa hivi kila mtu ananena kwa lugha.