Tafakuri: Gaidi Nambari Moja likihutubia taifa mbele ya Rais

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
Kuna vitu vinafurahisha sana. Vijana wanasema "Tanzania Sihami"

Video: "Gaidi numero uno akihutubia taifa mbele ya Rais. Ouagadougou, Burkina Faso 1573 BC (Terrorist number one addressing the nation in front of the President. Ouagadougou, Burkina Faso 1573 BC)" - J. Msangi

 
Bro, your sarcasm is very sophisticated, butter my toast, lol.
 
kwa Sasa gaidi lipo chini ya ulinzi mkali,wawe makini tu likitoka hili gaidi lisije likatoa pigo ,likasababisha kale kabendera chetu pendwa kakapepea 1/2 ,[emoji279].halafu sijamskia huyu jamaa [emoji220][emoji220][emoji220][emoji220][emoji220] pas ,ametoa kauli gani juu ya ku kamatwa kwa gaidi. halafu mm huwa naiza kichwa kwa nn,kila walinzi wa gaidi wanapotaka kuacha kazi za kumlinda gaidi ,wanapotea kwenye mazingira tatanishi!?
 
Polisi wamemwaibisha sana Mama Samia
 
Hilo hata mliteteeje acha uchunguzi ndio uamue,inawezekana likawa zaidi ya gaidi au la,kikulacho ki nguoni mwako
 
Gaidi linalopanga mpango wa kuwaua Viongozi wa juu wa Serikali linazungumzia maridhiano, upendo nΓ‘ mshikamano kwa Taifa letu. Sishangai hawa polisiccm wakichukiwa na Watanzania walio wengi. Watu wabaya sana hawa na wamewaumiza Watanzania wengi sana kwa vipigo vyao na kuwabambikia kesi FEKI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…