Tafakuri: Gaidi Nambari Moja likihutubia taifa mbele ya Rais

Kuna hiki kikundi cha Axis of Evil ambacho nia yao ni kuendelea kumuenzi dhalimu mwendazake kikiongozwa na Mwigulu, Mpango, Ndugai, Majaliwa na Gwajima. Watu wabaya sana hawa.
Na Mwigulu ndiye muanzilishi na muendelezaji wa hili wanaloliita ugaidi.Refer:Mh.Rwakatare alivyomsumbua akiwa waziri wa JPM hapo awali.Huyu Mwigulu huyu!Na mengine yatajinyanyua siku si nyingi kuhusu huyu muhuni wa roho.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK

Unamuona?Look at him!Huyu mtu anajisahau mnoo.Watoto wa mjini hawana mambo ya hovyohovyo na utii usiozingatia akili na maarifa.Anawaza sifa tu na aonekane alivyomkomeshaji wakinzani wa maneno tu.Shame!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Huyu mtu ni hatari sana. Ni muongo aliyekubuhu kwa miaka mingi sasa.

Hii kesi ya Wilfred Lwakatare kesi ya ugaidi alibambikiwa ná Mwigulu Nchemba ambaye alidai ushahidi wake ungekubaliwa hata mbinguni. Ilisikilizwa mara mbili mahakamani ná mara zote ikapigwa chini kwa kutokuwa ná ushahidi wa kutosha.

Unamuona?Look at him!Huyu mtu anajisahau mnoo.Watoto wa mjini hawana mambo ya hovyohovyo na utii usiozingatia akili na maarifa.Anawaza sifa tu na aonekane alivyomkomeshaji wakinzani wa maneno tu.Shame!
 
Huyu mtu ni hatari sana. Ni muongo aliyekubuhu kwa miaka mingi sasa.
Yupo wizara ya hela ila anatamani awe nyampara wa askari ili atimize kiu yake.Draculla in need of human blood and urine and flesh as well!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Exactly Mkuu! Ná huyu kama Bashite kahusika katika mauaji mengi alipokuwa mambo ya ndani. Hata shambulizi la Lissu, kupotea kwa Azory ná Ben Saanane pia alihusika.

Yupo wizara ya hela ila anatamani awe nyampara wa askari ili atimize kiu yake.Draculla in need of human blood and urine and flesh as well!
 
Kuna hiki kikundi cha Axis of Evil ambacho nia yao ni kuendelea kumuenzi dhalimu mwendazake kikiongozwa na Mwigulu, Mpango, Ndugai, Majaliwa na Gwajima. Watu wabaya sana hawa.
Kama ndiyo hivyo hatuna rais pale
wanawake hawanaga maamuzi yanayotokana na wao streight hawajiamini kwa chochote sasa hiyo fursa ndiyo Hawa makanjanja wanaitumia kupeleka nchi ovyo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kuna vitu vinafurahisha sana. Vijana wanasema "Tanzania Sihami"

Video: "Gaidi numero uno akihutubia taifa mbele ya Rais. Ouagadougou, Burkina Faso 1573 BC (Terrorist number one addressing the nation in front of the President. Ouagadougou, Burkina Faso 1573 BC)" - J. Msangi

It is high time to put mbowe at his right place. Baada ya kua kiongozi upinzani miaka mingi anajiona amekua on waiting wings kwa muda mrefu kuongoza nchi. Yeye ni bepari na ni rahisi kukabidhi nchi kwa yeyote mwenye hela. La maana hana uungwaji mkono wa wananchi walio wengi ila anahitajika sana na ubeberu wa kimataifa kwa manufaa yao. Nchi yetu imekua na sera na utamaduni wa kijamaa yaani kujali maendeleo ya umma. Kadri mbowe na genge lake wanavyokua na tamaa isiyotimilika kuongoza ni hatari. Yafaa sasa kuhakikisha mbowe anaishia gerezani maana ameingia mwenyewe kwenye mtego kwa kutoa kauli za uasi na vitisha kwa viongozi.
 
Pole kwa kuzaliwa kwenye umasikini uliotopea.
Pole kwa kuendelea kuukumbatia umasikini.
Pole kwa kuwa na chuki na watu waliobarikiwa na Mungu na wakabarikika na kuwa matajiri.
Umasikini ni uchawi na roho mbaya,nakuombea kwa Mungu Mwenyezi akuongoze uukimbie umasikini.
 
Kuna vitu vinafurahisha sana. Vijana wanasema "Tanzania Sihami"

Video: "Gaidi numero uno akihutubia taifa mbele ya Rais. Ouagadougou, Burkina Faso 1573 BC (Terrorist number one addressing the nation in front of the President. Ouagadougou, Burkina Faso 1573 BC)" - J. Msangi

Hizi ndizo sababu zitapelekea kukaa na vijana na kuona ni namna gani ya kujitolea kwa ajili ya Tz ya kesho, kufa tutakufa lakini tutakufa kwa ajili ya taifa letu na tutakumbukwa kama mashujaa wa taifa! Ukombozi unakuja
 
Hata Osama aliwahi kuishi USA na mpk Passport walimpa lakini mwisho aliwafanya nini ?
Acha ujinga usilinganishe ishu ya Osama na Serikali ya Marekani,Osama alikuwa anatumiwa na CIA kupambana na Urusi kule Afghastan,alipewa mafunzo na CIA,
Sasa Mbowe ni mwanasiasa,Kama alikuwa ni gaidi howcome Jiwe JPM akuliona hili,mpaka leo?Ishu ya Mbowe ni Sawa na Ya Mandela,hata Mandela aliitwa Gaidi na Serikali dhalimu ya wazungu wachache wa SA.
Kama mashekh tu mmeishindwa kudhibitisha "ugaidi" wao,mtaweza kudhibitisha "ugaidi"wa Mbowe?
Polisi wa nchi hii ni Mbwa kabisa,
 
Pole kwa kuzaliwa kwenye umasikini uliotopea.
Pole kwa kuendelea kuukumbatia umasikini.
Pole kwa kuwa na chuki na watu waliobarikiwa na Mungu na wakabarikika na kuwa matajiri.
Umasikini ni uchawi na roho mbaya,nakuombea kwa Mungu Mwenyezi akuongoze uukimbie umasikini.
Umempa ukweli wake Mana chuki mbaya Sana.Kibinadam hakina aliekamilika lakini kwa hizi salakas za kubambikia watu kesi za kihuni huo ni zaidi ya upumbavu
 
Back
Top Bottom