Tafakuri: Gaidi Nambari Moja likihutubia taifa mbele ya Rais

Tafakuri: Gaidi Nambari Moja likihutubia taifa mbele ya Rais

Mkosoe kwa namna nyingne na sio kuvua utu wa mtu hadharan what if angekuwa mzazi wako/shangazi/bibi/mama mdogo/ mama mkubwa? Futa hii comment mkuu

sure.

Mkosoe kama kwa nafasi yake ya Uraisi ama Public figure.

Haya mengine ni ya ndani, na si sahihi hata kikatiba
 
Kuna vitu vinafurahisha sana. Vijana wanasema "Tanzania Sihami"

Video: "Gaidi numero uno akihutubia taifa mbele ya Rais. Ouagadougou, Burkina Faso 1573 BC (Terrorist number one addressing the nation in front of the President. Ouagadougou, Burkina Faso 1573 BC)" - J. Msangi



Vituko nchi hii haviwezi kuisha.

Mtu mwenye indefinite monopoly ya uwenyekiti wa chama anapata wapi moral authority ya kutoa lecture ya democracy kwa wengine?
 
Kwani ile ya Lwakatare ilikuwa si kweli au ushahidi uliwashinda
Na Mwigulu ndiye muanzilishi na muendelezaji wa hili wanaloliita ugaidi.Refer:Mh.Rwakatare alivyomsumbua akiwa waziri wa JPM hapo awali.Huyu Mwigulu huyu!Na mengine yatajinyanyua siku si nyingi kuhusu huyu muhuni wa roho.
 
Back
Top Bottom