Nilijua ni akili za Magufuli ameondoka nazo kumbe kuna viazi wamerisi
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Na Mwigulu ndiye muanzilishi na muendelezaji wa hili wanaloliita ugaidi.Refer:Mh.Rwakatare alivyomsumbua akiwa waziri wa JPM hapo awali.Huyu Mwigulu huyu!Na mengine yatajinyanyua siku si nyingi kuhusu huyu muhuni wa roho.Kuna hiki kikundi cha Axis of Evil ambacho nia yao ni kuendelea kumuenzi dhalimu mwendazake kikiongozwa na Mwigulu, Mpango, Ndugai, Majaliwa na Gwajima. Watu wabaya sana hawa.
Kweli wamesahau kuwa jamaaa ana Phd ya siasaPolisi wamemwaibisha sana Mama Samia
Na Mwigulu ndiye muanzilishi na muendelezaji wa hili wanaloliita ugaidi.Refer:Mh.Rwakatare alivyomsumbua akiwa waziri wa JPM hapo awali.Huyu Mwigulu huyu!Na mengine yatajinyanyua siku si nyingi kuhusu huyu muhuni wa roho.
Unamuona?Look at him!Huyu mtu anajisahau mnoo.Watoto wa mjini hawana mambo ya hovyohovyo na utii usiozingatia akili na maarifa.Anawaza sifa tu na aonekane alivyomkomeshaji wakinzani wa maneno tu.Shame!
Unamuona?Look at him!Huyu mtu anajisahau mnoo.Watoto wa mjini hawana mambo ya hovyohovyo na utii usiozingatia akili na maarifa.Anawaza sifa tu na aonekane alivyomkomeshaji wakinzani wa maneno tu.Shame!
Unamuona?Look at him!Huyu mtu anajisahau mnoo.Watoto wa mjini hawana mambo ya hovyohovyo na utii usiozingatia akili na maarifa.Anawaza sifa tu na aonekane alivyomkomeshaji wakinzani wa maneno tu.Shame!
Yupo wizara ya hela ila anatamani awe nyampara wa askari ili atimize kiu yake.Draculla in need of human blood and urine and flesh as well!Huyu mtu ni hatari sana. Ni muongo aliyekubuhu kwa miaka mingi sasa.
Yupo wizara ya hela ila anatamani awe nyampara wa askari ili atimize kiu yake.Draculla in need of human blood and urine and flesh as well!
Wakati si milele.Exactly Mkuu! Ná huyu kama Bashite kahusika katika mauaji mengi alipokuwa mambo ya ndani. Hata shambulizi la Lissu, kupotea kwa Azory ná Ben Saanane pia alihusika.
Gaidi mkristo? Na wakina pengo wapo kimya tuHilo hata mliteteeje acha uchunguzi ndio uamue,inawezekana likawa zaidi ya gaidi au la,kikulacho ki nguoni mwako
Kama ndiyo hivyo hatuna rais paleKuna hiki kikundi cha Axis of Evil ambacho nia yao ni kuendelea kumuenzi dhalimu mwendazake kikiongozwa na Mwigulu, Mpango, Ndugai, Majaliwa na Gwajima. Watu wabaya sana hawa.
Tena hao wakiwa magaidi ndio balaa zito kuliko uliowazoweaGaidi mkristo? Na wakina pengo wapo kimya tu
It is high time to put mbowe at his right place. Baada ya kua kiongozi upinzani miaka mingi anajiona amekua on waiting wings kwa muda mrefu kuongoza nchi. Yeye ni bepari na ni rahisi kukabidhi nchi kwa yeyote mwenye hela. La maana hana uungwaji mkono wa wananchi walio wengi ila anahitajika sana na ubeberu wa kimataifa kwa manufaa yao. Nchi yetu imekua na sera na utamaduni wa kijamaa yaani kujali maendeleo ya umma. Kadri mbowe na genge lake wanavyokua na tamaa isiyotimilika kuongoza ni hatari. Yafaa sasa kuhakikisha mbowe anaishia gerezani maana ameingia mwenyewe kwenye mtego kwa kutoa kauli za uasi na vitisha kwa viongozi.Kuna vitu vinafurahisha sana. Vijana wanasema "Tanzania Sihami"
Video: "Gaidi numero uno akihutubia taifa mbele ya Rais. Ouagadougou, Burkina Faso 1573 BC (Terrorist number one addressing the nation in front of the President. Ouagadougou, Burkina Faso 1573 BC)" - J. Msangi
Pole kwa kuzaliwa kwenye umasikini uliotopea.It is high time to put mbowe at his right place. Baada ya kua kiongozi upinzani miaka mingi anajiona amekua on waiting wings kwa muda mrefu kuongoza nchi. Yeye ni bepari na ni rahisi kukabidhi nchi kwa yeyote mwenye hela. La maana hana uungwaji mkono wa wananchi walio wengi ila anahitajika sana na ubeberu wa kimataifa kwa manufaa yao. Nchi yetu imekua na sera na utamaduni wa kijamaa yaani kujali maendeleo ya umma. Kadri mbowe na genge lake wanavyokua na tamaa isiyotimilika kuongoza ni hatari. Yafaa sasa kuhakikisha mbowe anaishia gerezani maana ameingia mwenyewe kwenye mtego kwa kutoa kauli za uasi na vitisha kwa viongozi.
Kama yule mchungaji,Afrika kusini,juzi alivyouwa weusi,ni mchungaji kabisa wa kihindi,akauliwa na mwenzake mda huo huo,wa kihindi pia.Tena hao wakiwa magaidi ndio balaa zito kuliko uliowazowea
Hizi ndizo sababu zitapelekea kukaa na vijana na kuona ni namna gani ya kujitolea kwa ajili ya Tz ya kesho, kufa tutakufa lakini tutakufa kwa ajili ya taifa letu na tutakumbukwa kama mashujaa wa taifa! Ukombozi unakujaKuna vitu vinafurahisha sana. Vijana wanasema "Tanzania Sihami"
Video: "Gaidi numero uno akihutubia taifa mbele ya Rais. Ouagadougou, Burkina Faso 1573 BC (Terrorist number one addressing the nation in front of the President. Ouagadougou, Burkina Faso 1573 BC)" - J. Msangi
Acha ujinga usilinganishe ishu ya Osama na Serikali ya Marekani,Osama alikuwa anatumiwa na CIA kupambana na Urusi kule Afghastan,alipewa mafunzo na CIA,Hata Osama aliwahi kuishi USA na mpk Passport walimpa lakini mwisho aliwafanya nini ?
Umempa ukweli wake Mana chuki mbaya Sana.Kibinadam hakina aliekamilika lakini kwa hizi salakas za kubambikia watu kesi za kihuni huo ni zaidi ya upumbavuPole kwa kuzaliwa kwenye umasikini uliotopea.
Pole kwa kuendelea kuukumbatia umasikini.
Pole kwa kuwa na chuki na watu waliobarikiwa na Mungu na wakabarikika na kuwa matajiri.
Umasikini ni uchawi na roho mbaya,nakuombea kwa Mungu Mwenyezi akuongoze uukimbie umasikini.