Makala nzuri, ila its more about Maggid kuliko Prof...
Anyway kwa kutumia kalamu yako huenda ni wakati kama jamii tukajitafakari kwamba gharama za matibabu kwa nchi yetu hii ambayo sio ya kibepari sio rafiki kwa wengi wetu..., Ni wengi wanakufa / watakufa kutokana na gharama ambazo sio friendly....
Sisemi vitu viwe bure, bali huenda tukiongeza vipato vya watu wetu basi kila mmoja ataweza kutibiwa kwa gharama ambazo ni affordable...
Pia kama jamii tubadilike katika mambo kama ya kuchangia organs pindi mtu anapokufa (sio busara hivi viungo vikawe chakula cha funza)