Tafakuri Jadidi ya Maggid Mjengwa kuhusu afya ya Profesa Jay ambaye amelazwa Muhimbili

Aah wewe ndio unaipokea vibaya, mwandishi alikuwa anajaribu kuelezea yeye kamfahamia wapi Profesa Jay, maana kuna ile watu kuonekana kufakamia kuongelea watu (hata ikiwa kwa huruma) ndio maana akafafanua kamjulia wapi,
 
Mungu akakutetee Joseph Haule mkono wa Mungu mwenye nguvu ukakuguse hapo ulipo lala kwa maradhi na utaamka ukiwa mwenye afya njema, let the power of the Lord come down from heaven above, be heald, be cured, rise again from that sickbed in Jesus name Amen[emoji120]
 
Humble Guy down to earth with Lovely heart and care for others,Wishing Prof.J very quick recovery and steady one in JESUS NAME [emoji120]
 
Kumchangia Jay ni muhimu Sana .Atapona mwalimu na mburudishaji wetu,prof.Joseph Haule.Uprofesa wa heshima mbele ya umma umekuwa halisi kuliko maprofesa wa darasani eg.Kabudi na Lipumba.
 
Mungu amjaalie Prof Jay apone mapema kadri mungu atakavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…