Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,194
- 4,549
Dini zote mashuhuri duniani hasa Ukristo ,Uyahudi na Uislam zinakubaliana ya kuwa binaadam ameumbwa na Mungu,ambaye ni muumba wa ulimwengu mzima.Licha ya hivyo utofauti unakuja mara baada ya kuumbwa mwanaume wa Kwanza(Adam).zipo tafakuri na dhana za kiitikadi mbalimbali katika dini tofauti juu ya uumbaji wa Adam.
Katika itikadi ya dini ya kikristo imesimulia imesimuliwa kwa ukamilifu katika kitabu cha mwanzo 2:4-3:24.Mungu aliwakataza wote wawili wasile matunda ya mti uliokatazwa.Nyoka alimshawishi Hawa ale matunda ya mti huo na Hawa nae nae akamshawishi Adam ale pamoja naye.
Wakati Mungu anamkaripia Adamu kwa alicholifanya,Adam naye akamtupia Hawa lawama zote,Mwanzo 3:12" ‘Adam akasema, Huyo mwanamke uliyenipa awe pamoja nami ndiye aliyenipa matunda ya mti huo, nikala.’’Kwa matokeo hayo, Mungu alimwambia Hawa: Mwanzo 3:16 "Akamwambia mwanamke, Hakika ntakuzidishia uchungu wako,na kuzaa kwako ;Kwa uchungu utazaa watoto na tamaa yako itakuwa Kwa mumeo,naye atakutawala". Na Kwa Adamu Mungu alimwambia : "Kwa kuwa umesikiliza sauti ya mke wako ,ukala matunda ya mti....ardi imelaaniwa Kwa ajili yako ;Kwa uchungu utakula mazao Yake siku zote za Maisha yako..." Katika maandishi hayo ni wazi Mungu anamlaumu Adamu Kwa kumsikiliza Hawa na Adam anamtupia lawama Hawa kwanini amemshawish Kula tunda. Ni wazi hapa Hawa Kwa dhambi zake imekuwa kama hukumu ya Dunia nzima Kwa wanawake(maana Wana zaa Kwa uchungu na wanawak wengi wanaonekana ni walaghai na wadanganyifu).
Taswira ya kuwa Hawa ni mshawishi iliyo ndani ya biblia imeleta matokeo na athari mbaya Kwa kiasi kikubwa Kwa wanawake katika mafundisho ya kikristo na haya Uyahudi.Wanawake wote waliaminiwa kuwa wamerithi kutoka kwa mama yao, Hawa wa kibiblia,mambo mawili :dhambi zake na hila zake.Kwa hiyo ,wanawake wote wakawa hawaaminiwi ,wadhaifu wa uadilifu ,na waovu.Kuoata hedhi,mimba na kuzaa;vitu hivi vilizingatiwa kuwa ni adhabu ya uadilifu Kwa dhambi ya milele ya kulaaniwa Kwa jinsia ya kike.Ili tufahamu vizuri ni namna gani mkanganyiko huu ulivyo wenye kutia Shaka
juu ya biblia ilivyokuwa kwa vijukuu vyake vya kike vyote tunalazimika
kutazama maandiko ya baadhi ya Wayahudi na Wakristo muhimu sana wa kila zama.
Hebu acha tuanzie na Agano la Kale na tuone dondoo kutoka katika kile kiitwacho 'maandiko ya busara' ambaye kwayo tutakuta "Naona uchungu Sana kuliko uchungu wa.
wa kifo mwanamke ambaye ni ghiliba, ambaye moyo wake ni mtego na mikono yake ni minyororo .Mwanaume anayempendeza Mungu atamuepuka Mwanauke huyo,lakini maovu atatekwa na Mwanauke huyo....wakati nilipokuwa naendelea kutafuta
bila kupata, nilipata mwanamume mmoja wa kuaminika miongoni mwa maelfu, lakini
lakini muovu atatekwa na mwanamke huyo… Wakati nilipokuwa naendelea kutafuta lakini
sijapata hata mwanamke mmoja wa kuaminikamiongoni mwa wanawake wote’’(Ecclesiastes 7:26-28).
Katika
Sehemu nyengine ya maandiko ya kiyahudi ambaye yanapatikana katika biblia ya kikatoliki tunasoma" Hakuna uovu unaotokea sehemu yeyote unaokaribiana na uovu wa mwanamke...Dhambi huanza Kwa mwanamke na tunamshukuru mwanamke Kwa kuwa sote lazima tufe" (Ecclesiasticus 25:1924).
Pia wataaamu wa dini ya kiyahudi wameorodhesha laana Tisa zinazo watesa wanawake ikiwa ni matokeo ya kuporomoka;"Ye ametoa laana Tisa nakifo Kwa mwanamke :mzigo wa damu ya hedhi na damu ya bikra ;mzigo wa kubeba mimba;mzigo wa kuzaa;mzigo wa kulea watoto;kichwa chake kinafunikwa kama vile mtu yupo kwenye maombolezo;mwanamke anatoboa masikio yote kama vile mtumwa wa kudumu au mjakazi ambaye anamtumikia bwana wake;mwanamke asiaminiwe kuwa ni shahidi na baada ya yote hayo kifo "²
Kwa hivi sasa, Wayahudi wakiume wa Kiorthodoksi katika sala zao za kila siku asubuhi wanakariri"Baraka ni za Mungu mfalme wa ulimwengu Kwa kuwa hajaniumba mwanamke" wanawake Kwa upande mwengine wanakariri ,wanakariri "Shukrani ni za Mungu Kula asubuhi Kwa kuniumba kulingana na matakwa Yake."³
Dua nyengine inayopatikana katika vitabu vingi vya dua za kiyahudi "Shukrani ni za Mungu Kwa kuwa hajaniumba nikiwa mtu wa mataifa(Mtu ambaye si myahudi)." Shukrani ni za Mungu kwa kuwa hajaniumba mwanamke. Shukrani ni za Mungu kwa
kuwa hajaniumba mjinga.’’4
Msingi wa itikadi hii,Hawa alifanya dhambi kisha alimshawishi Adam afae mkumbi wake.Kwa hiyo Mungu aliwafukuza wote wawili watoke peponi waende ardhini ,ardhi ambaye imelaaniwa Kwa ajili yao.Walirithisha dhambi yao,ambayo haikusamehewa na Mungu ,kuwarithisha kizazi chao chote na Kwa hiyo,binaadam wote wanazaliwa wakiwa na dhambi.Ili kuwatakasa wanadamu katoka katika "dhambi zao za asili"
Mungu alilazimika kumtoa muhanga msalabani, Yesu,
ambaye anazingatiwa kuwa ni mwana wa Mungu.Kwa hiyo Hawa anabeba kosa lake ,dhambi ya mumewe ,dhambi ya asili ya binaadam wote na kifo cha mwana wa Mungu.Kwa maneni mengine ,matendo ya mwanamke mmoja Kwa nafsi moja yamesababisha kuangamia Kwa binaadam⁵.
Je, kuna nini kwa mabinti zake? Hao nao
ni wakosaji kama yeye na wanalazimika kutendewa kama alivyotendewa yeye.Sikiliza muono wa kuhuzunisha ya matakatifu paulo katika agani jipya"Mwanamke na ajifunze katika utulivu,akitii Kwa kila namna .Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha wala kumtawala mwanaume,Bali awe katika utulivu.Kwa maana Adam ndiye aliyeumbwa Kwanza na Hawa baadae wala Adam hakudanganywa ila mwanamke alidanganywa kabisa akainhia katika Hali ya kukosa "(I Timotheo 2:11-14).Mt.Augustine alikuwa ni mwaminifu kwa waliomtangulia, alimuandikia rafiki yake:
“Hakuna utofauti Kwa mwanamke awe mke au mama ,ataendelea kuwa ni Hawa tu ambaye ni mshawishi Kwa hiyo ,lazima tujihadhari na mwanamke yoyote yule...nimeshindwa kupata faida ya mwanamke kwa mwanaume,ukitoa tendo la kuzaa na watoto".
Mwisho, mwanamageuzi mashuhuri Martin Luther hajaona faida yoyote kwa mwanamke ispokuwa kuleta watoto wengi duniani Kwa kiasi kinachowezekana bila kujali athari mbaya zozote: “Kama watachoka au kufa, hakuna tatizo. Waache wafe Kwa kuzaa
mwanamke ispokuwa kuleta watotowengi duniani kwa kiasi kinachowezekana bila
kwa kuzaa, kwani hiyo ndio sababu ya kuwepo kwao.”
Katika Msingi wa itikadi ya dini ya kiislam inakinzana na dini mbali mbali juu ya umbwaji wa mwanzo wa binaadam(Adam na Hawa) na nafasi ya mwanamke katika jamii.kama ilivyokuja katika Qur'an "(kisha Mwenyezi Mungu akasema kumwambia Nabii Adam )"Na wewe Adam! Kaa peponi pamoja na mkeo ,na kuleni mnapopemda ,lakini msiukaribie mtu huyu msije kuwa miongoni mwa walio dhulumu(nafasi zenu).Basi shetani(naye ni Yule iblis),aliwatia wasiwasi ili kuwadhihirishia aibu zao zilizofichiwa ,na akasema :"Mola wenu hakukukatazeni mti huu ila Kwa (sababu hii🙂msije kuwa malaika au miongoni mwa wakaao milele(wasife)"Naye akawaapia (Kwa kuwaambia)"Kwa yakini Mimi ni mmoja wa watoaoshauri njema kwenu"Basi akawateka (wote wawili) Kwa hadaa(Yake).Na waliopouonja mti ule aibu zao ziliwadhihirikia na wakaingia kujibandika majani ya (mti huko)peponi .Na Mola wao akawaita (akawaambia) :"Je sikukukatazeni mti huu na kukwambieni ya kwamba shetani ni adui yenu aliyedhahiri?" Wakasema "Mola wetu! tumedhulumu nafsi zetu,na kama hukutusamehe na kuturehemu bila ya Shaka tutakuwa miongoni mwa wenye khasara (kubwa kabisa)"(Qur'an 7:19-23).
Kwahivyo Qur'an ipo kinyume cha biblia na talmud(kitabu cha Wayahudi), Qur'an inayoa lawama zilizo Sawa Kwa wote wawili Adam na Hawa Kwa makosa yao.Hakuna sehemu haya moja katika Qur'an Mtu atakuta hata kidokezo kidogo Sana ambacho kinaashiria kuwa Hawa alimshawishi Adam Ale katika mti huo au hata kuwa Hawa ndiye aliyekula Kwanza kabla ya Adam Hawa katika Qur'an si mshawishi wala si mlaghai wala mdanganyifu.Zaidi ya hayo ,Hawa si wakulaumiwa Kwa machungu ya uzazi.Mungu, kulingana na Qur'an hamuadhibu yeyote Kwa kosa la mwengine.Wote wawili Adam na Hawa wametenda dhambi kisha wakamuaomba Mungu msamaha Naye akawasamehe wote wawili.
Hivyo hii itikadi ya kusema mwanamke si katika waaminifu,wakweli kuliko wanaume si Sawa kwani binaadamu wote ni Sawa katika kumcha Mungu na si vinginenvyo. Qur'an inasema "Bila Shaka wanaume wenye kufata vizuri ni nguzo za kiislam ,na wanawake wanaofata vizuri nguzo za uislam.......Na wanaume wanaomtaja Mungu Kwa wingi na wanawake wanaomtaja Mungu Kwa wingi Mwenyezi Mungu amewaandalia msamaha na ujira mkubwa"(Qur'an 33:35).
Vivyo hivyo pia Qur'an inasema"Mola wao Akawakubalia (maombi yao kwa kusema): “Hakika Mimi sitapoteza juhud(amali) ya mfanya juhudi miongoni mwenu ,akawa mwanaume au mwanamke (kwani ninyi Kwa ninyi)...."(3:195).pia Qur'an inasema "fanyaye ubaya hatalipwa ila sawa na huo uwovu wake na afanyaye mema, akiwa mwanaume au mwanamke naye ni muislam Basi hao wataingia peponi ,waruzikiwe bila hesabu"(40:40).
Ni wazi kuwa mtazamo wa Qur'an juu ya wanawake hauna tofauti na mtazamo wake juu ya wanaume .wao wote (mwanaume na mwanamke) ni viumbe wa Mungu ambayo lengo juu la kuletwa duniani ni kumuabudu Mwenyezi Mungu.Quran haijaonesha kuwa mwanamke ni mlango wa shetani wala kuwa amezaliwa akiwa ni mlaghai . Qur'an pia haijataja kuwa mwanaume ni sura ya Mungu ispokuwa mwanaume na mwanamke wote ni viumbe wa Mungu .
Kwa mujibu wa Qur'an Kasi ya mwanamke si kuzaa watoto tu ,lakini pia anatakiwa atende Emma mengi kama mwanaume anavyotakiwa afanye .kamwe Qur'an haijasema kuwa Hakuna mwanamke mwema aliyewahi kuishi.Kinyume chake tunaona Qur'an imewafundisha waumini wote ,wake Kwa waume ,kufata mfano wa wanawake wakamilifu kama vile bikra Maria(Maryam) na mke wa firauni. " Na Mwenyezi Mungu amewapigia mfano walio amini - mkewe Firauni, alipo sema: Mola wangu Mlezi! Nijengee kwako nyumba Peponi, na uniokoe na Firauni na vitendo vyake, na uniokoe na watu madhaalimu."
Reference
Qur'an
Swidler, op. cit., p. 140
widler, op. cit., pp 80-81.osemary R. Ruether, “Christianity”, in Arvind Sharma, ed., Women in World Religions (Albany State University of New
York Prees, 1987) p 206
Leonard J. Swidler, Women in Judaism: the Status of Women in Formative Judaism (Metuchen, N,J: Scarecrow Press, 1976) p 115
Thena Kendath, “Memories of an Orthodox youth” in Susannah Haschel ed. On being a Jewish Feminist (New York : schocken Book ,1983)pp 96-97
Makala haya ni ya kielimu njoo na maoni ya kielimu
Nini maoni yako?
Itaendeleaaa....
Abby Uladu.
Psychologist and journalist.
Mbezi beach finest.