Naunga mkono hojaMimi ni mzalendo na mchambuzi wa mambo ninatafakari dhana ya No reform No election kwa kina, ninapata tatizo kuelewa Chadema inataka nini hasa. Ni kweli upinzani ikiwemo Chadema zimepata maumivu sana kwa uchaguzi wa 2029/2020 na hali ikaendendelea 2024. Hoja ya mabadiliko ya sheria kabla ya uchaguzi ni ya muhimu ili kuwa na uchaguzi ulio huru na haki inaeleweka na watu wengi, lakini ukiangalia sana kinachokosekana siyo mabadiluko ya sheria pekee bali pia uzalendo na utashi wa kisiasa kwa watendaji wa serikali, viongozi wa siasa, viongozi wa dini. Mimi ninaamini Mwenyekiti wa CCM Taifa akitoa maelekezo kwa serikali na mahsusi kwa Tume na vyombo vyote vya serikali kwa waraka wa ki mamlaka na hatua zitakazochukuliwa anaye kiuka. upande wa chadema wajue bila hivyo na wasipopata sapoti ya serikali wakishiriki uchaguzi wataambulia wabunge 2 au hakuna. vivyo hivyo kwa vyama vingine vya upinzani. wasiposhiriki uchaguzi watapoteza kuwa chama cha upinzani. Hapa ndipo wanapaswa watumie sayansi ya siasa. Mimi nashauri bado wanayo nafasi na kuwasiliana na Rais, serikali,viongozi wa dini, nchi za nje na wadau wengineo kubadili hali iliyopo na mitizamo ya kisiasa. vinginevyo mtanziko huu unahitaji njia mbalmbali mbadala na ikiwezekana kufanya mikutano na makongano warsha na wadau mbalimbali ikiwemo serikali kujadili suala hili.
Huu ushauri mzuri ila utulie kwanza mpaka siku 48 za mikutano na wananchi ziishe. Hii ndio kampeni ya Chadema ya kiaina kupima upepo kama wanaendelea kukubalika au lah. Baada ya hapo lazima watashiriki uchaguzi tu. Mbinu hii maana yake hata wakishiriki tayari wanao wananchi wengi nyuma yao watakaolinda kura kwa jasho na damu. Kimsingi mbinu hii inahusisha massive movement of people au people power, no matter watapigwa risasi au virungu lakini watashinikiza matokeo yatangazwe kama yalivyo. Na ni kama ilivyotokea kwenye uchaguzi wa 2010 na 2015 baadhi ya maeneo.No Reform No Election: Tafakuri ya Mtanziko wa Kisiasa
Mimi ni mzalendo na mchambuzi wa mambo ninatafakari dhana ya No Reform No Election kwa kina, ninapata tatizo kuelewa Chadema inataka nini hasa.
Ni kweli upinzani, ikiwemo Chadema, zimepata maumivu sana kwa uchaguzi wa 2019/2020 na hali ikaendelea 2024.
Hoja ya mabadiliko ya sheria kabla ya uchaguzi ni ya muhimu ili kuwa na uchaguzi ulio huru na haki inaeleweka na watu wengi, lakini ukiangalia sana kinachokosekana siyo mabadiliko ya sheria pekee bali pia uzalendo na utashi wa kisiasa kwa watendaji wa serikali, viongozi wa siasa, na viongozi wa dini.
Mimi ninaamini Mwenyekiti wa CCM Taifa akitoa maelekezo kwa serikali na mahsusi kwa Tume na vyombo vyote vya serikali kwa waraka wa kimamlaka na hatua zitakazochukuliwa kwa anaye kiuka, upande wa Chadema wajue bila hivyo na wasipopata sapoti ya serikali wakishiriki uchaguzi wataambulia wabunge 2 au hakuna.
Vivyo hivyo kwa vyama vingine vya upinzani. Wasiposhiriki uchaguzi watapoteza kuwa chama cha upinzani.
Hapa ndipo wanapaswa watumie sayansi ya siasa. Mimi nashauri bado wanayo nafasi ya kuwasiliana na Rais, serikali, viongozi wa dini, nchi za nje na wadau wengineo kubadili hali iliyopo na mitazamo ya kisiasa.
Vinginevyo, mtanziko huu unahitaji njia mbalimbali mbadala na ikiwezekana kufanya mikutano na makongamano, warsha na wadau mbalimbali ikiwemo serikali kujadili suala hili.
Kwanini unaona wao ndio wanahitaji kuonana na Raisi, na sio Raisi awatafute waonane nae?No Reform No Election: Tafakuri ya Mtanziko wa Kisiasa
Mimi ni mzalendo na mchambuzi wa mambo ninatafakari dhana ya No Reform No Election kwa kina, ninapata tatizo kuelewa Chadema inataka nini hasa.
Ni kweli upinzani, ikiwemo Chadema, zimepata maumivu sana kwa uchaguzi wa 2019/2020 na hali ikaendelea 2024.
Hoja ya mabadiliko ya sheria kabla ya uchaguzi ni ya muhimu ili kuwa na uchaguzi ulio huru na haki inaeleweka na watu wengi, lakini ukiangalia sana kinachokosekana siyo mabadiliko ya sheria pekee bali pia uzalendo na utashi wa kisiasa kwa watendaji wa serikali, viongozi wa siasa, na viongozi wa dini.
Mimi ninaamini Mwenyekiti wa CCM Taifa akitoa maelekezo kwa serikali na mahsusi kwa Tume na vyombo vyote vya serikali kwa waraka wa kimamlaka na hatua zitakazochukuliwa kwa anaye kiuka, upande wa Chadema wajue bila hivyo na wasipopata sapoti ya serikali wakishiriki uchaguzi wataambulia wabunge 2 au hakuna.
Vivyo hivyo kwa vyama vingine vya upinzani. Wasiposhiriki uchaguzi watapoteza kuwa chama cha upinzani.
Hapa ndipo wanapaswa watumie sayansi ya siasa. Mimi nashauri bado wanayo nafasi ya kuwasiliana na Rais, serikali, viongozi wa dini, nchi za nje na wadau wengineo kubadili hali iliyopo na mitazamo ya kisiasa.
Vinginevyo, mtanziko huu unahitaji njia mbalimbali mbadala na ikiwezekana kufanya mikutano na makongamano, warsha na wadau mbalimbali ikiwemo serikali kujadili suala hili.
ninapata tatizo kuelewa Chadema inataka nini hasa
Hoja ya mabadiliko ya sheria kabla ya uchaguzi ni ya muhimu ili kuwa na uchaguzi ulio huru na haki inaeleweka na watu wengi, lakini ukiangalia sana kinachokosekana siyo mabadiliko ya sheria pekee bali pia uzalendo na utashi wa kisiasa kwa watendaji wa serikali, viongozi wa siasa, na viongozi wa
safi sana dawa inawaingia kama wazee wa yanga vile,no reform no election tulieni 4r mliifanya kichaka cha kuficha ufisadi wenu,wacha wananchi waamueNo Reform No Election: Tafakuri ya Mtanziko wa Kisiasa
Mimi ni mzalendo na mchambuzi wa mambo ninatafakari dhana ya No Reform No Election kwa kina, ninapata tatizo kuelewa Chadema inataka nini hasa.
Ni kweli upinzani, ikiwemo Chadema, zimepata maumivu sana kwa uchaguzi wa 2019/2020 na hali ikaendelea 2024.
Hoja ya mabadiliko ya sheria kabla ya uchaguzi ni ya muhimu ili kuwa na uchaguzi ulio huru na haki inaeleweka na watu wengi, lakini ukiangalia sana kinachokosekana siyo mabadiliko ya sheria pekee bali pia uzalendo na utashi wa kisiasa kwa watendaji wa serikali, viongozi wa siasa, na viongozi wa dini.
Mimi ninaamini Mwenyekiti wa CCM Taifa akitoa maelekezo kwa serikali na mahsusi kwa Tume na vyombo vyote vya serikali kwa waraka wa kimamlaka na hatua zitakazochukuliwa kwa anaye kiuka, upande wa Chadema wajue bila hivyo na wasipopata sapoti ya serikali wakishiriki uchaguzi wataambulia wabunge 2 au hakuna.
Vivyo hivyo kwa vyama vingine vya upinzani. Wasiposhiriki uchaguzi watapoteza kuwa chama cha upinzani.
Hapa ndipo wanapaswa watumie sayansi ya siasa. Mimi nashauri bado wanayo nafasi ya kuwasiliana na Rais, serikali, viongozi wa dini, nchi za nje na wadau wengineo kubadili hali iliyopo na mitazamo ya kisiasa.
Vinginevyo, mtanziko huu unahitaji njia mbalimbali mbadala na ikiwezekana kufanya mikutano na makongamano, warsha na wadau mbalimbali ikiwemo serikali kujadili suala hili.
Hizi ni mbinu sahihi kabisa za kuweka ushahidi usioacha shaka ya uhuni unaofanyika kwenye chaguzi zetu.Kwa sasa njia nyingi zimeendelea kutumika:
1. Tume ya haki za binadamu ya Umoja wa mataifa.
2. Mataifa ya jumuia ya Ulaya
3. USA
Ndiyo maana kwenye mikutano yote ya CHADEMA, wananchi wanasaini petition itakayowasilishwa Serikalini, UN, na kwa mataifa yote rafiki wa Tanzania.
Muwe na subira, mtayaona matokeo. Kinachotafutwa ni uthibitisho kuwa Serikali ya Tanzania inadhulumu haki za wananchi.
Kumbuka ile orodha ya waliouawa, kutekwa, kuumizwa na kuwekwa mahabusu za polisi kwa sababu ya chaguzi mbalimbali zilizopita, imeandaliwa, na itafikishwa kwa Serikali na jamii ya kimataifa ili kuonesha wazi kwa ushahidi, kwa nini uchaguzi wa Tanzania kwa mazingira ya sasa hauna maana na siyo salama kwa wananchi na wagombea.
No Reform No Election: Tafakuri ya Mtanziko wa Kisiasa
Mimi ni mzalendo na mchambuzi wa mambo ninatafakari dhana ya No Reform No Election kwa kina, ninapata tatizo kuelewa Chadema inataka nini hasa.
Ni kweli upinzani, ikiwemo Chadema, zimepata maumivu sana kwa uchaguzi wa 2019/2020 na hali ikaendelea 2024.
Hoja ya mabadiliko ya sheria kabla ya uchaguzi ni ya muhimu ili kuwa na uchaguzi ulio huru na haki inaeleweka na watu wengi, lakini ukiangalia sana kinachokosekana siyo mabadiliko ya sheria pekee bali pia uzalendo na utashi wa kisiasa kwa watendaji wa serikali, viongozi wa siasa, na viongozi wa dini.
Mimi ninaamini Mwenyekiti wa CCM Taifa akitoa maelekezo kwa serikali na mahsusi kwa Tume na vyombo vyote vya serikali kwa waraka wa kimamlaka na hatua zitakazochukuliwa kwa anaye kiuka, upande wa Chadema wajue bila hivyo na wasipopata sapoti ya serikali wakishiriki uchaguzi wataambulia wabunge 2 au hakuna.
Vivyo hivyo kwa vyama vingine vya upinzani. Wasiposhiriki uchaguzi watapoteza kuwa chama cha upinzani.
Hapa ndipo wanapaswa watumie sayansi ya siasa. Mimi nashauri bado wanayo nafasi ya kuwasiliana na Rais, serikali, viongozi wa dini, nchi za nje na wadau wengineo kubadili hali iliyopo na mitazamo ya kisiasa.
Vinginevyo, mtanziko huu unahitaji njia mbalimbali mbadala na ikiwezekana kufanya mikutano na makongamano, warsha na wadau mbalimbali ikiwemo serikali kujadili suala hili.
Haueleweki Mkuu!No Reform No Election: Tafakuri ya Mtanziko wa Kisiasa