FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Najua hujafa hujaumbika, so usiniletee misemo kama hiyo. Napendekeza kwamba kabla ya mtu yeyote kupewa dawa ya kurefusha maisha (kabla hajafa kwa side effects za dawa); apewe form maalum atakayosaini na kuapa kwa hatatumia fursa hiyo ya muda wa nyongeza kuusambaza na kuua binadamu wenzake kwa makusudi.
Pia akubali kuwekea kaalama kaduchu sana sehemu husika kuonyesha status yake, hii itasaidiana sana kupinguza mauaji ya kukusudia, maana kuna ile kasumba ya kwamba kwanini niende peke yangu, hii inahitaji tafakuri ya hali ya juu sana.
Hivyo basi, napendekeza tutumie fursa hii ya kutokuwa na wapingaji bungeni kuipitisha sheria hii unanimously, bahati nzuri hakuna wa kupinga bungeni, hivyo itapita vizuri sana. Kuna mbunge mmoja nafanya nae mazungumzo (jina nalihifadhi), ngoja tuone tutafikia wapi.