Tafakuri: Lengo la kurefusha maisha ya mwathirika bila kumpa masharti ni lipi?

Tafakuri: Lengo la kurefusha maisha ya mwathirika bila kumpa masharti ni lipi?

Acha ngono
Kuwa mwaminifu au
Tumia condom. Kanuni ni nyepesi tu
 
Nani atakubali kwenda kupimwa ili awekwe alama?Baada ya hapo watu watakuwa wakila peku kwa kuangalia alama,matokeo yake maambukizi ndio yatazidi!
Hakuna atakaekula peku, ila akiona hiyo alama atajidhatiti zaidi kutumia kinga, pia huwekwi alama baada ya kupima, unawekwa alama kabla hujarefushiwa maisha kwa ARV
 
Unaachaje ngono kwa mkeo? Unatumiaje condom kwa mkeo na mnataka watoto? Ukiwa mwaminifu unajuaje kuhusu mwenza wako kama naye anakuwa mwaminifu kama wewe?
Ndio naelewa, sasa jibu swali langu, wewe ukiwa mwaminifu unauhakika gani mwenza wako naye ni mwaminifu?
Kila mmoja akiwa mwaminifu maana yake mwenza wako pia atakuwa miongoni maana nae ni kati ya hao 'kila mmoja'
 
Unaachaje ngono kwa mkeo? Unatumiaje condom kwa mkeo na mnataka watoto? Ukiwa mwaminifu unajuaje kuhusu mwenza wako kama naye anakuwa mwaminifu kama wewe?
Hayo ni machaguo mjomba, maana yake uchague moja unaloona linakufaa. Hivi umesoma enzi za division au GPA wewe mbona una-reason kama mtoto mdogo? Ungekuwa na akilli ya kawaida usingehitaji ufafanuzi kwa jambo dogo kama hili....kwa vyovyote ungeweza kujua kuwa huwezi kuacha ngono halafu hapohapo ukawa mtumiaji wa condom
 
Najua hujafa hujaumbika, so usiniletee misemo kama hiyo. Napendekeza kwamba kabla ya mtu yeyote kupewa dawa ya kurefusha maisha (kabla hajafa kwa side effects za dawa); apewe form maalum atakayosaini na kuapa kwa hatatumia fursa hiyo ya muda wa nyongeza kuusambaza na kuua binadamu wenzake kwa makusudi.

Pia akubali kuwekea kaalama kaduchu sana sehemu husika kuonyesha status yake, hii itasaidiana sana kupinguza mauaji ya kukusudia, maana kuna ile kasumba ya kwamba kwanini niende peke yangu, hii inahitaji tafakuri ya hali ya juu sana.

Hivyo basi, napendekeza tutumie fursa hii ya kutokuwa na wapingaji bungeni kuipitisha sheria hii unanimously, bahati nzuri hakuna wa kupinga bungeni, hivyo itapita vizuri sana. Kuna mbunge mmoja nafanya nae mazungumzo (jina nalihifadhi), ngoja tuone tutafikia wapi.
Taarifa hii imfikie jobu mzee wa kubugia mbolea ya minjingu
 
Hayo ni machaguo mjomba, maana yake uchague moja unaloona linakufaa. Hivi umesoma enzi za division au GPA wewe mbona una-reason kama mtoto mdogo? Ungekuwa na akilli ya kawaida usingehitaji ufafanuzi kwa jambo dogo kama hili....kwa vyovyote ungeweza kujua kuwa huwezi kuacha ngono halafu hapohapo ukawa mtumiaji wa condom
Basi acha hoja ipite, maana huna hoja madhubuti ya kupinga
 
Back
Top Bottom