FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Wewe ukitulia naye, una uhakika kama yeye katulia?Kila mmoja atulie na mwenza wake
Manesi wanaoambukizwa makazini je?Mshahara wa dhambi ni mauti
Kwa sababu wamewekewa alama ambayo mtu ataiona kabla ya tukio la mauaji ya kukusudia, how?Kwa ushauri wako watu ndio wataambukiza zaidi!
Kwa tiba iliyopo hata madaktari wenye maambukizi sikuhizi wanaruhusiwa kufanya upasuaji, miaka 20-15 nyuma hawakuruhusiwa kwa hofu ya kuambukiza wagonjwa.Manesi wanaoambukizwa makazini je?
Hahahah, kwamba mtu anaetumia ARV hawezi kuambukiza wengine hata akijamiina? Aisee...., wewe husikii wakiambiwa kwamba hata kama wameathirika na wanatumia dawa wasiache kutumia kinga ili wasipate virusi vipya? HahahahaUwelewa wako katika ugonjwa huu ni mdogo. Dawa za kurefusha maisha zina vunja nguvu ya ugonjwa kiasi kwamba mgonjwa anaefuata maelekezo baada ya wiki 12 za matibabu hawezi kuambukiza wengine hata akijamiiana bila kinga.
Si hivyo tu bali utafiti wa tiba kamili unaendelea na tiba ikipatikana ni rahisi kuwatibu waliofubaza virusi.
Ukisema hivyo mkuu hauna tofauti na kusema kuwa watu wote wapimwe UKIMWI na anaekutwa positive basi awekewe kaalama kadogo ili watu waweze kumjua ili asiweze kuambukiza wengine,hili lingwezekana ila mambo ya haki za binadamu ndio yamesababisha vitu hivi visifanyike,pia kisaikolojia ingewaathiri watu wengi na kujiona kuwa wao si watu wanaostahili kuishi na wengine kwa uhuru na amani,na hata unyanyapaa kwa hali hiyo ungeongezeka kwa kiwango cha juu sana...Najua hujafa hujaumbika, so usiniletee misemo kama hiyo. Napendekeza kwamba kabla ya mtu yeyote kupewa dawa ya kurefusha maisha (kabla hajafa kwa side effects za dawa); apewe form maalum atakayosaini na kuapa kwa hatatumia fursa hiyo ya muda wa nyongeza kuusambaza na kuua binadamu wenzake kwa makusudi.
Pia akubali kuwekea kaalama kaduchu sana sehemu husika kuonyesha status yake, hii itasaidiana sana kupinguza mauaji ya kukusudia, maana kuna ile kasumba ya kwamba kwanini niende peke yangu, hii inahitaji tafakuri ya hali ya juu sana.
Nimetaja manesi kwa context ya ‘mshahara wa dhambi ni mauti’, manesi wanapoambukizwa wanakuwa wamefanya dhambi gani?Kwa tiba iliyopo hata madaktari wenye maambukizi sikuhizi wanaruhusiwa kufanya upasuaji, miaka 20-15 nyuma hawakuruhusiwa kwa hofu ya kuambukiza wagonjwa.
Ukimwi ni ugonjwa sugu siku hizi kama ilivyo kisukari na moyo. Ukimwi unaodhibitiwa hauambukizi hivyo huwezi kuuita communicable disease.Nimetaja manesi kwa context ya ‘mshahara wa dhambi ni mauti’, manesi wanapoambukizwa wanakuwa wamefanya dhambi gani?
Na kwamba tiba imepatikana, au unamaanisha nini?
Sio watu wote, ni wale tu wanaotaka kupewa dawa ya kirefusha maisha, kipi huelewi, mbona natumia lugha ya kiswahili?Ukisema hivyo mkuu hauna tofauti na kusema kuwa watu wote wapimwe UKIMWI na anaekutwa positive basi awekewe kaalama kadogo ili watu waweze kumjua ili asiweze kuambukiza wengine,hili lingwezekana ila mambo ya haki za binadamu ndio yamesababisha vitu hivi visifanyike,pia kisaikolojia ingewaathiri watu wengi na kujiona kuwa wao si watu wanaostahili kuishi na wengine kwa uhuru na amani,na hata kiwango cha unyanyapaa kwa hali hiyo kingeongezeka kwa kiwango cha juu sana...
Virusi vipya vinavyoongelewa in vya kutoka kwa mtu mwingine anayeugua na hatumii ARV.Hahahah, kwamba mtu anaetumia ARV hawezi kuambukiza wengine hata akijamiina? Aisee...., wewe husikii wakiambiwa kwamba hata kama wameathirika na wanatumia dawa wasiache kutumia kinga ili wasipate virusi vipya? Hahahaha
Kwahiyo mtu anaetumia ARV damu yake ikagusana na yako kwa mchubuano na zikagusana hakuambukizi, sivyo?Ukimwi ni ugonjwa sugu siku hizi kama ilivyo kisukari na moyo. Ukimwi unaodhibitiwa hauambukizi hivyo huwezi kuuita communicable disease.
Kwanini mkuuKwa ushauri wako watu ndio wataambukiza zaidi!
Na ndio nikauliza, damu ya mtu anetumia ARV ikagusana na yako kwa mchubuano na zikagusana, hakuambukizi, sivyo?Virusi vipya vinavyoongelewa in vya kutoka kwa mtu mwingine anayeugua na hatumii ARV.