FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
- Thread starter
-
- #21
Mtu aliyeisha akabaki mifupa anafanyaje hayo mauaji ya kukusudia, tusaidie katika hilo. Hivyo watatumia tu hizo ARV, japo mwishowe zitawaua kwa Liver, heart na Kidney failure, ila watatumia tu.Hizi ndio tunaita akili ndogo. Idadi ya wanaopima na kutumia hayo madawa itapungua na matokeo yake kasi ya maambukizi mapya itaokezeka sana.
Moja ya faida ya ARV ni kupinguza uwezekano wa anayeishi na VVU kumwambukiza mtu mwingine.
Pia, kwa miongozo ya sasa, neno 'muathirika' ni la kinyanyapaa, tunasema mtu anayeishi na VVU.
Inachukua muda gani mtu akipata maambukizi hadi kufikia hiyo hatua ya 'kubaki mifupa'?Mtu aliyeisha akabaki mifupa anafanyaje hayo mauaji ya kukusudia, tusaidie katika hilo. Hivyo watatumia tu hizo ARV, japo mwishowe zitawaua kwa Liver, heart na Kidney failure, ila watatumia tu.
Kama unaumwa, unatumia ARV halafu ikasuguana na anayeumwa na hatumii ARV, unaweza kuambukizwa virusi vingine tofauti na ulivyonavyo na vikakuathiri upya kabisa.Na ndio nikauliza, damu ya mtu anetumia ARV ikagusana na yako kwa mchubuano na zikagusana, hakuambukizi, sivyo?
Kama inachukua muda mrefu, bado ni nafuu kuliko muda atakaokuwa nao wa ziada baada ya kuoewa hizo dawa bila masharti na akaua watu wengi zaidi kwa muda mrefu zaidiInachukua muda gani mtu akipata maambukizi hadi kufikia hiyo hatua ya 'kubaki mifupa'?
Kwani mkeo huwa unambaka?kwani huwa wanawabaka
Nazungumzia damu ya asieumwa akigusana na anaeumwa na anatumia ARV, hataambukiwa kisa aliyegusana nae damu yake anatumia ARV, is it?Kama unaumwa, unatumia ARV halafu ikasuguana na anayeumwa na hatumii ARV, unaweza kuambukizwa virusi vingine tofauti na ulivyonavyo na vikakuathiri upya kabisa.
Na kila anayeenda kwenye shughuli asikose katochi kadogo.Najua hujafa hujaumbika, so usiniletee misemo kama hiyo. Napendekeza kwamba kabla ya mtu yeyote kupewa dawa ya kurefusha maisha (kabla hajafa kwa side effects za dawa); apewe form maalum atakayosaini na kuapa kwa hatatumia fursa hiyo ya muda wa nyongeza kuusambaza na kuua binadamu wenzake kwa makusudi.
Pia akubali kuwekea kaalama kaduchu sana sehemu husika kuonyesha status yake, hii itasaidiana sana kupinguza mauaji ya kukusudia, maana kuna ile kasumba ya kwamba kwanini niende peke yangu, hii inahitaji tafakuri ya hali ya juu sana.
Hivyo basi, napendekeza tutumie fursa hii ya kutokuwa na wapingaji bungeni kuipitisha sheria hii unanimously, bahati nzuri hakuna wa kupinga bungeni, hivyo itapita vizuri sana. Kuna mbunge mmoja nafanya nae mazungumzo (jina nalihifadhi), ngoja tuone tutafikia wapi.
Huyo mbunge anakusanifu tu, hawezi kukubali kwani kubanduana kwa wabunge ni dawa ya kuondoa msongo wa mawazo. Si ulisikia siku za nyuma kuna yule mdada mbunge, alikuwa na ndoa yake. Cha kushangaza alikwenda Dodoma na basha wake na kufumaniwa na mumewe. In short hakuna mbunge atakayekubali ombi lako.Najua hujafa hujaumbika, so usiniletee misemo kama hiyo. Napendekeza kwamba kabla ya mtu yeyote kupewa dawa ya kurefusha maisha (kabla hajafa kwa side effects za dawa); apewe form maalum atakayosaini na kuapa kwa hatatumia fursa hiyo ya muda wa nyongeza kuusambaza na kuua binadamu wenzake kwa makusudi.
Pia akubali kuwekea kaalama kaduchu sana sehemu husika kuonyesha status yake, hii itasaidiana sana kupinguza mauaji ya kukusudia, maana kuna ile kasumba ya kwamba kwanini niende peke yangu, hii inahitaji tafakuri ya hali ya juu sana.
Hivyo basi, napendekeza tutumie fursa hii ya kutokuwa na wapingaji bungeni kuipitisha sheria hii unanimously, bahati nzuri hakuna wa kupinga bungeni, hivyo itapita vizuri sana. Kuna mbunge mmoja nafanya nae mazungumzo (jina nalihifadhi), ngoja tuone tutafikia wapi.
Uzembe waoManesi wanaoambukizwa makazini je?
Yule Kamoli sijui?Huyo mbunge anakusanifu tu, hawezi kukubali kwani kubanduana kwa wabunge ni dawa ya kuondoa msongo wa mawazo. Si ulisikia siku za nyuma kuna yule mdada mbunge, alikuwa na ndoa yake. Cha kushangaza alikwenda Dodoma na basha wake na kufumaniwa na mumewe. In short hakuna mbunge atakayekubali ombi lako.
Mkuu ubarikiwe sana kwa kumtoa matongotongo huyu ndugu yetuUwelewa wako katika ugonjwa huu ni mdogo. Dawa za kurefusha maisha zina vunja nguvu ya ugonjwa kiasi kwamba mgonjwa anaefuata maelekezo baada ya wiki 12 za matibabu hawezi kuambukiza wengine hata akijamiiana bila kinga.
Si hivyo tu bali utafiti wa tiba kamili unaendelea na tiba ikipatikana ni rahisi kuwatibu waliofubaza virusi.
Mbona ameshajibiwa na kaishia njiani sasaMkuu ubarikiwe sana kwa kumtoa matongotongo huyu ndugu yetu
In short umeandika upupuSasa hapa wewe unatofauti gani na kenge sasa? Maana hata kenge angeweza kupost huu utumbo uliocomment, jibu kwa hoja kama binadamu mwenye utashi
nasikia dada alikuwa mgawaji kishenzi.Yule Kamoli sijui?
Si kasema watawekwa alama?Kwa ushauri wako watu ndio wataambukiza zaidi!