Analog
JF-Expert Member
- Apr 4, 2024
- 323
- 618
Unampeleka mkeo mjamzimto hospitali ama zahanati unakutana na doctor wa kiume ndo ampime na ikibidi mpaka kumzalisha anamzalisha.
Yaani inakuwaje kuwaje anafunua sehemu ile na kuangalia kama papo sawa ama hapapo sawa. Hivi imeshindikana nini kuweka ma specialist watakaodeal wakike kwa wakike na wa kiume hivyo hivyo.
Hili linaweza kushawishi hata wakataka kuonja onja hawa. Kuna kijiji fulani nilienda zahanati ni doctor wa kiume ndo anadeal na uzazi mwanzo mwisho.
Hili kwako linakupa tafakuri gani?