Tafakuri: Madaktari bingwa wa wanawake kuwa wanaume imekaaje?

Tafakuri: Madaktari bingwa wa wanawake kuwa wanaume imekaaje?

Hili akiwa anakushika unavuta hisia ya dyudyu? Sio???
Khaa Kuna watu mna mawazo negative aise au ni tatzo la akili coz it's not normal mtu kuwaza hivi, kwanza unajua uchungu wewe? Yani ushikwe na uchungu unaanzia wapi kupata hisia Madaktari wa kiume tunawependa coz wanajua kuhudumia na hawana visirani Wala huwezi kukuta mwanaume ana gomba gomba tofauti na manesi wakike wanakuaga na visirani mda mwingine
 
Unampeleka mkeo mjamzimto hospitali ama zahanati unakutana na doctor wa kiume ndo ampime na ikibidi mpaka kumzalisha anamzalisha.

Yaani inakuwaje kuwaje anafunua sehemu ile na kuangalia kama papo sawa ama hapapo sawa. Hivi imeshindikana nini kuweka ma specialist watakaodeal wakike kwa wakike na wa kiume hivyo hivyo.

Hili linaweza kushawishi hata wakataka kuonja onja hawa. Kuna kijiji fulani nilienda zahanati ni doctor wa kiume ndo anadeal na uzazi mwanzo mwisho.

Hili kwako linakupa tafakuri gani?
Issue ndogo sana hii, mpeleke mkeo akasomee udaktari ili asaidie na wengine
 
Mbona ni kawaida. Ukiwa hosptali hata mawazo ya jinsia hayapo. Mfano kama kipimo cha tezi dume tunachokisikia unaona ni daktari yupi ni sahihi kukipima?
 
Kama ndio hivyo je unaweza kumtia vidole na kumzalisha mama yako?
No hard feelings.
Well mama yangu sasa hivi ni bibi tena bibi kweli kweli
lakini kwenye afya kuna haki za wagonjwa jamani unaweza ukaenda hospitali ukasema sitaki kuhudumiwa na huyu na wakakutafutia mwingine wa kukuhudumia simple like that.

Note: sio kumtia vidole ni kufanya uchunguzi wa njia ya uzazi

Kwa Senario yako tuseme hakuna namna nyingine yoyote ile ya kuhudimiwa na mtu mwingine or kwingine (In real sense hiki kitu hakiwezekani maana watumishi wa afya ni wengi sana) nikimwacha unadhani nitaeleweka? Maana hatatambulika tena kama mama yangu anatambulika kama mama mjamzito na kina bil gate wameweka hela zao kwa wamama wajawazito na watoto unadhani nitaishia wapi nikimwacha eti kisa ni mama yangu

Hii Tanzania ya leo akifa mama mjamzito au akapata shida wakati wa kujifungua umeisha
 
Huku kwetu kuna zahanat moja, kuna doctor mmoja ashughulika na maswala ya wajawazito, anatabia, ukpeleka mkeo kuanza clinic ya ujauzito, kuna ile baada ya vipimo vya HIV na ki semina kidogo cha mr & mrs kuhusu maendeleo ya ujauzito, anakuamru mwanaume utoke nje, sasa yule doctor anatabia ya kutomasa wake za watu, anawavua na anawashka kla sehem. Ila dawa yake ipo, tumepanga kumtwanga. Bro kama upo hapa JF, sku za kuuguza manundu zimekarbia kwako
Huwa mnamuonaje wakati anawatoa nje
 
Back
Top Bottom