Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,918
- 13,885
kwan hvyo vidole anatiwa kwa dhumuni gan?Hapana
Amewaza vizuri sana
Kiuhalisia haiepndezi kabisa basi tu
Hata kama ww ni mwanaume sidhani kama unafurahia mkeo kutiwa vidole na mwanaume mwenzio ukawa comfortable
Pia kwa kujua hicho kitu kinaweza jitokeza ndio maana wakaweka faragha baina ya mtoa huduma na mgonjwa na pia hiyo kazi ina miiko na maadili yake ukiona imevunjwa ruksa kushtaki