Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wako upo wap?
NAfikiri Mindset za Watu inabidi ibadilike..Unampeleka mkeo mjamzimto hospitali ama zahanati unakutana na doctor wa kiume ndo ampime nji na ikibidi mpaka kumzalisha anamzalisha.
Yaani inakuwaje kuwaje anafunua sehemu ile na kuangalia kama papo sawa ama hapapo sawa. Hivi imeshindikana nini kuweka ma specialist watakaodeal wakike kwa wakike na wa kiume hivyo hivyo.
Hili linaweza kushawishi hata wakataka kuonja onja hawa. Kuna kijiji fulani nilienda zahanati ni doctor wa kiume ndo anadeal na uzazi mwanzo mwisho.
Hili kwako linakupa tafakuri gani?
kweli kabisa,, ingawa kwa private hospitals wahudumu wote wako na care nzuri sanaaaa.Mmmnh ya kweli Ms R..!! au kuna lingine tofauti na hlo..?
Mdau ephen_ wewe ni mwanamke au mwanaume? Iwapo ni mwanamke wanasema wanawake kwa wanawake huwa hawapendani.Mficha uchi hazai..!
Madokta wa kiume wanajali sana kuliko wa kike
Mimi nikienda hospital nikikuta dokta ni wa kike Nanuna...!
kweli kabisa,, ingawa kwa private hospitals wahudumu wote wako na care nzuri sanaaaa.
Apo n uhalisia kabisa coz hospital nloenda mm wadada tu walkua care mda wa dawa mnaitwa majina mnapewa dawa kisha wanaondoka nazo kesho tena mnaletewa hao n wadada huduma iv.
turud kwenye kujifungua sasa nilihudumiwa na wanaume aloooh ile huduma ni super perfect
Anawasaidia avae tu kinga maana nguvu hakunaHuku kwetu kuna zahanat moja, kuna doctor mmoja ashughulika na maswala ya wajawazito, anatabia, ukpeleka mkeo kuanza clinic ya ujauzito, kuna ile baada ya vipimo vya HIV na ki semina kidogo cha mr & mrs kuhusu maendeleo ya ujauzito, anakuamru mwanaume utoke nje, sasa yule doctor anatabia ya kutomasa wake za watu, anawavua na anawashka kla sehem. Ila dawa yake ipo, tumepanga kumtwanga. Bro kama upo hapa JF, sku za kuuguza manundu zimekarbia kwako
Busara sana hii.Mimi ni mwanamke
Nawapenda watu wote bila kujali jinsia
Siruhusu chuki au zao lolote la shetani litawale moyo wangu.
Wana huruma kuliko wahudumu wa jinsia ya kike?Na wana huruma sana, wabarikiwe kwakweli.
Ni ya kweli kiujumla lakini kuna wanawake hawana tatizo na wanawake wenzaoBusara sana hii. Hata hivyo kwenye jamii zetu si inasemwa semwa wanawake hampendani. Je, hii kauli ni ya kweli? ephen_
Kwangu naeza sema ndioWana huruma kuliko wahudumu wa jinsia ya kike?
HapanaUmewaza ujinga sana.
Watu wanajifanya hamnazo ila kiuhalisia hivyo hali haiependezi .Mkuu unapointi tuache mizaha,Wanaume tunajijua,upaja tu mnara huooo sembuse kupima njia?
Huyo mkeo ni mtoto mdogo hadi um-babysit namna hiyo? Au huwa anaingia kwa daktari akiwa amezimia?Hyo sio solution, kuna wakat wa mahudhurio ya clinic wanapopimapima njia sio mara zote nitakuwepo...hujaona kesi imetoka kuelezewa hapo muda si mrefu.
Serikali ina hangaika kutengeneza madaktari, ninyi wana kijiji mnapanga kuwa twanga madaktari badala ya kuwatia moyo na mazingira yalivyo mabovu.Huku kwetu kuna zahanat moja, kuna doctor mmoja ashughulika na maswala ya wajawazito, anatabia, ukpeleka mkeo kuanza clinic ya ujauzito, kuna ile baada ya vipimo vya HIV na ki semina kidogo cha mr & mrs kuhusu maendeleo ya ujauzito, anakuamru mwanaume utoke nje, sasa yule doctor anatabia ya kutomasa wake za watu, anawavua na anawashka kla sehem. Ila dawa yake ipo, tumepanga kumtwanga. Bro kama upo hapa JF, sku za kuuguza manundu zimekarbia kwako
Unampeleka mkeo mjamzimto hospitali ama zahanati unakutana na doctor wa kiume ndo ampime nji na ikibidi mpaka kumzalisha anamzalisha.
Yaani inakuwaje kuwaje anafunua sehemu ile na kuangalia kama papo sawa ama hapapo sawa. Hivi imeshindikana nini kuweka ma specialist watakaodeal wakike kwa wakike na wa kiume hivyo hivyo.
Hili linaweza kushawishi hata wakataka kuonja onja hawa. Kuna kijiji fulani nilienda zahanati ni doctor wa kiume ndo anadeal na uzazi mwanzo mwisho.
Hili kwako linakupa tafakuri gani?
Mzalishe mkeo mwenyewe hapo home. Problem solvedUnampeleka mkeo mjamzimto hospitali ama zahanati unakutana na doctor wa kiume ndo ampime nji na ikibidi mpaka kumzalisha anamzalisha.
Yaani inakuwaje kuwaje anafunua sehemu ile na kuangalia kama papo sawa ama hapapo sawa. Hivi imeshindikana nini kuweka ma specialist watakaodeal wakike kwa wakike na wa kiume hivyo hivyo.
Hili linaweza kushawishi hata wakataka kuonja onja hawa. Kuna kijiji fulani nilienda zahanati ni doctor wa kiume ndo anadeal na uzazi mwanzo mwisho.
Hili kwako linakupa tafakuri gani?