Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Haya mdogo wangu.....niite kule nitakuja 🤣🤣🤣Hii picha umegoogle wapi kaka?
Hlf naomba tusiharibu uzi wa watu kaka!
Twende kule nakuita nimekumissss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mdogo wangu.....niite kule nitakuja 🤣🤣🤣Hii picha umegoogle wapi kaka?
Hlf naomba tusiharibu uzi wa watu kaka!
Twende kule nakuita nimekumissss
Mdogo wangu kuna uzi huko umeandaliwa kuhusu wewe umeuona 😂🤣🤣
Hata usituonee wivu kaka, hatufaidi chochote aisee 😂😂😂Unampeleka mkeo mjamzimto hospitali ama zahanati unakutana na doctor wa kiume ndo ampime nji na ikibidi mpaka kumzalisha anamzalisha.
Yaani inakuwaje kuwaje anafunua sehemu ile na kuangalia kama papo sawa ama hapapo sawa. Hivi imeshindikana nini kuweka ma specialist watakaodeal wakike kwa wakike na wa kiume hivyo hivyo.
Hili linaweza kushawishi hata wakataka kuonja onja hawa. Kuna kijiji fulani nilienda zahanati ni doctor wa kiume ndo anadeal na uzazi mwanzo mwisho.
Hili kwako linakupa tafakuri gani?
Mdogo wangu yuleephen_ huwa hapendi utani...
Kuna shida gani kwenye matibabu? Au wewe ni muumini wa ile dini ya mwarabu huwa nafuatilia mafundisho Yao ya kibaguzi kwenye matibabu wanapinga sana hilo swala tana mbaya zaidi akiwa sio wa dini Yao? Si mlisema kitabu chenu kina elimu zote ukikihifadhi umefuzu elimu zote duniani? Basi mtumie wanawake waliofuzu kuhifadhi kitabu hicho( nadhani ni wengi) wawatibu wanawake wenzao ili kuilindha dhababu yaoUnampeleka mkeo mjamzimto hospitali ama zahanati unakutana na doctor wa kiume ndo ampime nji na ikibidi mpaka kumzalisha anamzalisha.
Yaani inakuwaje kuwaje anafunua sehemu ile na kuangalia kama papo sawa ama hapapo sawa. Hivi imeshindikana nini kuweka ma specialist watakaodeal wakike kwa wakike na wa kiume hivyo hivyo.
Hili linaweza kushawishi hata wakataka kuonja onja hawa. Kuna kijiji fulani nilienda zahanati ni doctor wa kiume ndo anadeal na uzazi mwanzo mwisho.
Hili kwako linakupa tafakuri gani?
Ndo fikra yako ilipoishia...Kuna shida gani kwenye matibabu? Au wewe ni muumini wa ile dini ya mwarabu huwa nafuatilia mafundisho Yao ya kibaguzi kwenye matibabu wanapinga sana hilo swala tana mbaya zaidi akiwa sio wa dini Yao? Si mlisema kitabu chenu kina elimu zote ukikihifadhi umefuzu elimu zote duniani? Basi mtumie wanawake waliofuzu kuhifadhi kitabu hicho( nadhani ni wengi) wawatibu wanawake wenzao ili kuilindha dhababu yao
Watoto wengi humu.wakikua watajua ubaya wa jambo hili.wape mudaInahuzunisha kwa kweli.
Ni kosa kwa mwanaume kuona UCHI WA MWANAMKE AMBAYE SIO WAKE.acha kuugusa au kuushika.ni vyema wanawake waka deal na wanawake wenzao.
Mtibu mwenyewe ama kasomee udaktari bingwa wa wanawake ili wasimchungulie swali fikirishi je wewe ni wangapi kumchungulia?Unampeleka mkeo mjamzimto hospitali ama zahanati unakutana na doctor wa kiume ndo ampime nji na ikibidi mpaka kumzalisha anamzalisha.
Yaani inakuwaje kuwaje anafunua sehemu ile na kuangalia kama papo sawa ama hapapo sawa. Hivi imeshindikana nini kuweka ma specialist watakaodeal wakike kwa wakike na wa kiume hivyo hivyo.
Hili linaweza kushawishi hata wakataka kuonja onja hawa. Kuna kijiji fulani nilienda zahanati ni doctor wa kiume ndo anadeal na uzazi mwanzo mwisho.
Hili kwako linakupa tafakuri gani?
Wengi tunaona kitu cha kawaida hatufikii kuwaza hivyo tunataka wake zetu tu wajifungue salama bila kujali hilo vipi mkeo akijifungua utaenda kumsimamia daktari asifanya yakeKwanin kiongozi?
Maiti anaziniwa sembuse mjamzito?!!Una mawazo ya kijinga Sana kichwani mwako
Huo uchi wa mama mjamzito unaweza kuutamani?
Nchi imebarikiwa kuwa na hadhina ya watu wenye fikra duni