Tafakuri: Madaktari bingwa wa wanawake kuwa wanaume imekaaje?

Unampeleka mkeo mjamzimto hospitali ama zahanati unakutana na doctor wa kiume ndo ampime nji na ikibidi mpaka kumzalisha anamzalisha.

Yaani inakuwaje kuwaje anafunua sehemu ile na kuangalia kama papo sawa ama hapapo sawa. Hivi imeshindikana nini kuweka ma specialist watakaodeal wakike kwa wakike na wa kiume hivyo hivyo.

Hili linaweza kushawishi hata wakataka kuonja onja hawa. Kuna kijiji fulani nilienda zahanati ni doctor wa kiume ndo anadeal na uzazi mwanzo mwisho.

Hili kwako linakupa tafakuri gani?
Hakuna tatizo hapo ...
 
Wahimize mabinti zako wawe Gynecologists
 
You've never bothered me
Mdogo wangu umeona hii??
Screenshot_20240411-172000.png
 
Kukuambia ww utoke sioni kama kunashida usijitengenezee akili ya kuwa ukiambiwa hivo basi kinachoendelea ndani ni hicho lasivyo utachukia wahudumu wa afya kote duniani maana kuna vitu mke anaweza asiseme ukiwepo mfano idadi ya watu alioshiriki nao hivi karibuni but kama kuna tuhuma hizo tafuteni ushahidi wekeni mtego. Hatua stahiki zichukuliwe
Hao wanawake wanaofanyiwa vitendo hivyo ndio wanaoleta malalamiko kwa waume zao
 
Back
Top Bottom