Sir Khan
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 5,730
- 11,576
Mleta mada naungana na wewe.Kwenye mambo yanayohusisha sehemu za siri ni vyema kila jinsia ikashughulikiwa na wataalamu wenye jinsia sawa.
Naona watu wanajisahaulisha kesi za madaktari kubaka wajawazito ambazo zimekuwa zikiripotiwa mara kwa mara.
Zamani huko vijijini wakunga wote walikuwa wanawake jambo ambalo ni jema kabisa.