Tafakuri: Mambo 10 ya kujifunza baada ya USA kumnyakua rais Maduro wa Venezuela

View attachment 3524797
VIDEO: Wananchi wa Venezuela wakishangilia anguko la Maduro na genge lake madarakani

Great Thinkers, nawakaribisha tuchambue tukio la kukamatwa rais Nicholaus Mafuro wa Venezuela

  1. Marekani akikutaka atakunyakua tu hata kama Uwe na Ulinzi mkali kiasi gani, yeye atakutwaa tu akikutaka.
  2. Ushirika na nchi za Kikomunisti kama China,Urusi,Korea Kaskazini nk haukusaidii kitu kama Marekani akikutaka.
  3. Urusi na China nao pia wanajali mitikasi yao ndo maana mnaweza ingia makubaliano kibao lakini siku wanaoitwa “Mabeberu” akiwemo USA wakiwa na jambo na wewe hautawaona tena.
  4. Rais wa Venezuela alikuwa ni Rais anayelindwa zaidi kwa Bara la Amerika ya Kusini na Caribbean lakini Marekani wametumia Dk 124 (Saa mbili na dk 4) kutua Ikulu ya Venezuela na Kumnyakua Maduro na Mke wake.
  5. Kikosi cha Ulinzi wa Rais Maduro kina vifaa kama Drone aina ya Mahojer 2/4 zinaweza kufanya upelelezi 24 hrs na kutuma taarifa Ikulu moja kwa moja, kina drone Za wing Loong ambazo zinazuia na kukwema makombora,mahari ya Urusi yasiyopitisha Risasi, ndege zisizopitisha risasi na zinaweza kukwepa makombora. Lakini USA wamemtwaa Chap tu.
  6. Marekani walikuwa wana mshutumu Rais Maduro kwa ukandamizaji wa haki Za binadamu, ila yeye akasema wanatamani mafuta yake. Wamemunyakua!
  7. Serikali ya Maduro inatajwa kuteka, kuua na kulawiti Wakosoaji wake, lakini serikali ikasema Mabeberu wanataka Rasilimali Maduro huko Orinoco Belt. Wamemtwaa!
  8. Marekani wakikukamia basi hata hawajitaji njia ndefu kama ambavyo wengi wanasema, ila anakuja mzima mzima muonyeshane makali.
  9. Mataifa ambayo yanakiuka haki Za raia, na kuteka wakosoaji wake basi yanatukia neno “wanatamani Rasilimali zetu” kama kichaka cha kujificha. Yamemkuta Nicolas Maduro!!
  10. Marekani wameingia Caracas wakakata umeme jiji zima, wakazichapa Kambi Za kijeshi Za Venezuela kisha wakamchukua Maduro waliyekuwa wanamtuhumu kuwa Mshirika wa kundi la kuuza dawa Za kulevya ja linalofanya Uhalifu la Cartel de los Soles ( cartel of the Sun).

👉🏻Je Marekani anasaidia au ana maslahi binafsi na nchi zenye Rasilimali?

Karibu Tuchambue
Usiwape sana sifa wamarekani mpaka ukapitiliza. Maduro alisalitiwa na walinzi wake walioamua kumtosa bosi wao.

Operesheni nzima imefanikiwa kwa msaada wa walinzi wa Maduro waliochoshwa na tabia zake wakaamua kumuuza.
 
Kuna vitu viwli lazima tung'amue kutoka kwenye maelezo yako na ya trump mwenyewe.

1. Pesa ni sabuni ya roho, marekani katumia pesa nyingi kuliko hata nguvu ya kijeshi.
Naamini kuna watu wanenunuliwq, haiwezekani kwa ulinzi wa namna hiyo raisi aokotwe kama broiler.. ni lazima pangenuka, damu za kutosha.
Kuna mtu aliuza ramani..

2. Vingine vyoote ni visingizio, marekani pale ni kwa maslahi yake, ukweli ni MAFUTA ndio kitu alikuwa anakitaka, laiti maduro angekuwa anaenda sawa na america, basi yasingemkuta haya..
Marekani hana mapenzi hayo na wavenezuela, suala ni maduro aliingilia mipango yake.
 
Madikiteta wana mano

Madikiteta wana maneno ya kibabe ya kujipa moyo, ila Trump atawwfagia wote
 
Kuna vitu viwli lazima tung'amue kutoka kwenye maelezo yako na ya trump mwenyewe.

1. Pesa ni sabuni ya roho, marekani katumia pesa nyingi kuliko hata nguvu ya kijeshi.
Naamini kuna watu wanenunuliwq, haiwezekani kwa ulinzi wa namna hiyo raisi aokotwe kama broiler.. ni lazima pangenuka, damu za kutosha.
Kuna mtu aliuza ramani..

2. Vingine vyoote ni visingizio, marekani pale ni kwa maslahi yake, ukweli ni MAFUTA ndio kitu alikuwa anakitaka, laiti maduro angekuwa anaenda sawa na america, basi yasingemkuta haya..
Marekani hana mapenzi hayo na wavenezuela, suala ni maduro aliingilia mipango yake.
Ni vidingizio? Kwa hiyo Maduro hakuteka wala kuuwa Raia wake?
 
Kuna vitu viwli lazima tung'amue kutoka kwenye maelezo yako na ya trump mwenyewe.

1. Pesa ni sabuni ya roho, marekani katumia pesa nyingi kuliko hata nguvu ya kijeshi.
Naamini kuna watu wanenunuliwq, haiwezekani kwa ulinzi wa namna hiyo raisi aokotwe kama broiler.. ni lazima pangenuka, damu za kutosha.
Kuna mtu aliuza ramani..

2. Vingine vyoote ni visingizio, marekani pale ni kwa maslahi yake, ukweli ni MAFUTA ndio kitu alikuwa anakitaka, laiti maduro angekuwa anaenda sawa na america, basi yasingemkuta haya..
Marekani hana mapenzi hayo na wavenezuela, suala ni maduro aliingilia mipango yake.
hiyo ni kama vita, vita ya sasa haitaji nguvu nyingi
Ni akili, raslimali kama pesa na teknolojia, hivyo kama hela imetumika ni mojawapo ya plani
 
Usiwape sana sifa wamarekani mpaka ukapitiliza. Maduro alisalitiwa na walinzi wake walioamua kumtosa bosi wao.

Operesheni nzima imefanikiwa kwa msaada wa walinzi wa Maduro waliochoshwa na tabia zake wakaamua kumuuza.
Na hao walinzi waliomsaliti wabarikiwe sana na hakika wote wako salama na familia zao.

Naamini kabisa hata hapa wapo wazalendo kwenye jopo la walinzi wanaomlinda huyu muuaji chura kiziwi, na ipo siku watamsaliti kama walivyofanya hao walinzi wa Maduro.
 
View attachment 3524797
VIDEO: Wananchi wa Venezuela wakishangilia anguko la Maduro na genge lake madarakani

Great Thinkers, nawakaribisha tuchambue tukio la kukamatwa rais Nicholaus Mafuro wa Venezuela

  1. Marekani akikutaka atakunyakua tu hata kama Uwe na Ulinzi mkali kiasi gani, yeye atakutwaa tu akikutaka.
  2. Ushirika na nchi za Kikomunisti kama China,Urusi,Korea Kaskazini nk haukusaidii kitu kama Marekani akikutaka.
  3. Urusi na China nao pia wanajali mitikasi yao ndo maana mnaweza ingia makubaliano kibao lakini siku wanaoitwa “Mabeberu” akiwemo USA wakiwa na jambo na wewe hautawaona tena.
  4. Rais wa Venezuela alikuwa ni Rais anayelindwa zaidi kwa Bara la Amerika ya Kusini na Caribbean lakini Marekani wametumia Dk 124 (Saa mbili na dk 4) kutua Ikulu ya Venezuela na Kumnyakua Maduro na Mke wake.
  5. Kikosi cha Ulinzi wa Rais Maduro kina vifaa kama Drone aina ya Mahojer 2/4 zinaweza kufanya upelelezi 24 hrs na kutuma taarifa Ikulu moja kwa moja, kina drone Za wing Loong ambazo zinazuia na kukwema makombora,mahari ya Urusi yasiyopitisha Risasi, ndege zisizopitisha risasi na zinaweza kukwepa makombora. Lakini USA wamemtwaa Chap tu.
  6. Marekani walikuwa wana mshutumu Rais Maduro kwa ukandamizaji wa haki Za binadamu, ila yeye akasema wanatamani mafuta yake. Wamemunyakua!
  7. Serikali ya Maduro inatajwa kuteka, kuua na kulawiti Wakosoaji wake, lakini serikali ikasema Mabeberu wanataka Rasilimali Maduro huko Orinoco Belt. Wamemtwaa!
  8. Marekani wakikukamia basi hata hawajitaji njia ndefu kama ambavyo wengi wanasema, ila anakuja mzima mzima muonyeshane makali.
  9. Mataifa ambayo yanakiuka haki Za raia, na kuteka wakosoaji wake basi yanatukia neno “wanatamani Rasilimali zetu” kama kichaka cha kujificha. Yamemkuta Nicolas Maduro!!
  10. Marekani wameingia Caracas wakakata umeme jiji zima, wakazichapa Kambi Za kijeshi Za Venezuela kisha wakamchukua Maduro waliyekuwa wanamtuhumu kuwa Mshirika wa kundi la kuuza dawa Za kulevya ja linalofanya Uhalifu la Cartel de los Soles ( cartel of the Sun).

👉🏻Je Marekani anasaidia au ana maslahi binafsi na nchi zenye Rasilimali?

Karibu Tuchambue

Huyu wa hapa hapa amesema msiendelee kuchokonoa masikio kuhusu Amani
 
Na hao walinzi waliomsaliti wabarikiwe sana na hakika wote wako salama na familia zao.

Naamini kabisa hata hapa wapo wazalendo kwenye jopo la walinzi wanaomlinda huyu muuaji chura kiziwi, na ipo siku watamsaliti kama walivyofanya hao walinzi wa Maduro.
Baadhi yetu hatutaki kuona machafuko yakizoeleka ndani ya JMT. Mange alikosa waandamanaji tarehe 9 na 25 Desemba baada ya watu kutopenda namna tarehe 29 October ilivyoharibu maisha yao ya kila siku.

Waliopoteza ndugu zao na waliopoteza kazi zao hawakubaliani na maandamano au vurugu kama ndio zinazoleta suluhisho la kudumu la kimaisha.
 
hiyo ni kama vita, vita ya sasa haitaji nguvu nyingi
Ni akili, raslimali kama pesa na teknolojia, hivyo kama hela imetumika ni mojawapo ya plani
Sio vita ya sasa hata huko zamani.. ni akili.. mahali popote ni akili kwanza kisha nguvu zitafata, na kama akili umeitumia vizuri, nguvu huenda ikahitajika kidogo tu
 
Back
Top Bottom