Tafakuri: Mambo 10 ya kujifunza baada ya USA kumnyakua rais Maduro wa Venezuela

Usiwape sana sifa wamarekani mpaka ukapitiliza. Maduro alisalitiwa na walinzi wake walioamua kumtosa bosi wao.

Operesheni nzima imefanikiwa kwa msaada wa walinzi wa Maduro waliochoshwa na tabia zake wakaamua kumuuza.
 
Kuna vitu viwli lazima tung'amue kutoka kwenye maelezo yako na ya trump mwenyewe.

1. Pesa ni sabuni ya roho, marekani katumia pesa nyingi kuliko hata nguvu ya kijeshi.
Naamini kuna watu wanenunuliwq, haiwezekani kwa ulinzi wa namna hiyo raisi aokotwe kama broiler.. ni lazima pangenuka, damu za kutosha.
Kuna mtu aliuza ramani..

2. Vingine vyoote ni visingizio, marekani pale ni kwa maslahi yake, ukweli ni MAFUTA ndio kitu alikuwa anakitaka, laiti maduro angekuwa anaenda sawa na america, basi yasingemkuta haya..
Marekani hana mapenzi hayo na wavenezuela, suala ni maduro aliingilia mipango yake.
 
Madikiteta wana mano
Madikiteta wana maneno ya kibabe ya kujipa moyo, ila Trump atawwfagia wote
 
Ni vidingizio? Kwa hiyo Maduro hakuteka wala kuuwa Raia wake?
 
hiyo ni kama vita, vita ya sasa haitaji nguvu nyingi
Ni akili, raslimali kama pesa na teknolojia, hivyo kama hela imetumika ni mojawapo ya plani
 
Usiwape sana sifa wamarekani mpaka ukapitiliza. Maduro alisalitiwa na walinzi wake walioamua kumtosa bosi wao.

Operesheni nzima imefanikiwa kwa msaada wa walinzi wa Maduro waliochoshwa na tabia zake wakaamua kumuuza.
Na hao walinzi waliomsaliti wabarikiwe sana na hakika wote wako salama na familia zao.

Naamini kabisa hata hapa wapo wazalendo kwenye jopo la walinzi wanaomlinda huyu muuaji chura kiziwi, na ipo siku watamsaliti kama walivyofanya hao walinzi wa Maduro.
 

Huyu wa hapa hapa amesema msiendelee kuchokonoa masikio kuhusu Amani
 
Baadhi yetu hatutaki kuona machafuko yakizoeleka ndani ya JMT. Mange alikosa waandamanaji tarehe 9 na 25 Desemba baada ya watu kutopenda namna tarehe 29 October ilivyoharibu maisha yao ya kila siku.

Waliopoteza ndugu zao na waliopoteza kazi zao hawakubaliani na maandamano au vurugu kama ndio zinazoleta suluhisho la kudumu la kimaisha.
 
hiyo ni kama vita, vita ya sasa haitaji nguvu nyingi
Ni akili, raslimali kama pesa na teknolojia, hivyo kama hela imetumika ni mojawapo ya plani
Sio vita ya sasa hata huko zamani.. ni akili.. mahali popote ni akili kwanza kisha nguvu zitafata, na kama akili umeitumia vizuri, nguvu huenda ikahitajika kidogo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…