Tafakuri: Mitano ya Magu na mitano ya Samia ipi imeenda Kasi zaidi?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam,

Wazoefu husema kuwa miaka huwa inatofautiana urefu, japo Mimi sikubaliani nao maana siku ni zile zile,

Labda hili naweza kukubaliana nalo, kwamba, siku au mwaka ambao umepitia shida au taabu huenda Pole Pole sana, kwamba unapopitia taabu kiuchumi, kisiasa,kijamii, siku na miaka hiyo, huonekana zinaenda pole pole, ila miaka ya kheri huwa ni mifupi, huisha haraka.

Twende kwenye mada,

Tukilinganisha utawala wa Rais Magufuli miaka yake mitano na utawala wa Samia mitano yake, ipi imekuwa mirefu kulingana na matukio na mkwamo ,furaha nk nk?
 
Naam
 
Kiukweli Mimi mitano ya Sa100 imekuwa mirefu sana kwangu!
 
Back
Top Bottom