We mleta mada Sema ulimchukia wewe JPM na kundi lenu la Wapuuzi lililojaa wakwepa kodi, mafisadi, wahujumu uchumi na majambazi mlioshikishwa adabu
Sisi wananchi wazalendo Jpm kaacha nembo kubwa ya uthubutu, uchapakazi, uzalendo na maslahi mapana ya kuipigania nchi yetu
Nchi ilikuwa inapoteza billions of money kwa kulipa watumishi hewa, kaingia JPM kakata hio line,, je unategemea watendaji wa Serikali waliokuwa wanufaika wa hio mishahara hewa watamfurahia!????
Watu walikuwa wamefanya bandari yetu kama shamba la bibi kwa kupitisha mizigo bila kulipa kodi,, JPM kakata hio line, je watendaji wanufaika wa huo ufisadi watampenda!???
Ujambazi, uvamizi vituo vya polisi na kuiba silaha, ugaidi kibiti hvyo vyote JPM kakomesha na ilibaki historia ktk utawala wake,,, je wanufaika wa hio michezo watampenda Jpm!???
Bado wauza madawa ya kulevya waliokuwa wametamalaki kila kona,, je hao watu watampenda JPM!??
Tumeshuhudia wafanyabiashara wakihimizwa kulipa kodi ambapo imekuwa mchango mkubwa ktk nyanja mbalimbali za kimaendeleo
Miradi mikubwa ya kimkakati SGR, Stiglers, Ndege, barabara kila mkoa, vituo vya afya, uboreshwaji wa bandari zetu nk
RIP JPM