sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,496
- 8,491
Wengine tumekulia vijijini ninachokumbuka ni uwepo wa nyasi ndefu, miti kibao na vichaka vilivyohifadhi wanyama kama sungura na swala, mito yenye samaki wa kutosha, mazao tele shambani, maziwa tele tunakunywa.
Bila kusahau kuogelea mtoni ukirudi nyumbani uso umekakamaa huwezi hata kumzomea mwenzio😆.
Bila kusahau kuogelea mtoni ukirudi nyumbani uso umekakamaa huwezi hata kumzomea mwenzio😆.