Typo= typeMod typo kwenye heading, numeisahau T mwanzo kabisa.
Sijuhi = Sijui 😁Sijuwi = sijuhi
Typo= type
Numeisahau= nimeisahau
Hivi huko shule ulienda kusoma ujinga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vichapizi bado hujaacha tu..Dah nazikumbuka. ukarus.
Nazikumbuka Ikarus, zile ndefu zikapewa jina kumbakumba.
Halafu Vijana wa leo wanatuona hatujuinhizi mwendokasi.
Binafsi nakumbuka kabla ya UDA ilikuwa DMT na kulikuwa na basi la ghorofa, hakuna ambae hajataka kulipanda hilo, sema enzi za hilo basi la ghorofa ilikuwa hakuna kuminyana, kama London tu.
Nayakumbuka nadhani yapo ilipo ofisi za magazeti ya CCM kwa sasa. Au sijuwi waliyafukia yale. Karibu kabisa na nyumbani kwetu.Kama mtu anakumbuka mahandaki ya ardhini Mmnazi mmoja..
Na ile sauti ya tindo ikitangaza muda majira ya saa ukipiga simu za kuzungusha
Hahahaaa haya bana kwetu kuzuriii huwa naenda kila ifikapo December huku dar es salaam tumefuata rizki tu heleri laiti kama ile falsafa ya Hayati Nyerere apumzike kwa Amani ingeendelea ya viwanda kila mkoa hee huku dar ningekuja kufuata nini kwa mfano kama nikushangaa bahari ningeishia TangaEleza ya kwenu, hapa si jukwaa la siasa, jimwage tu.
Zilianza zamani sana tena naona Unguja ndiyo kwao, maana mpaka leo zipo huko.Hivi enzi za usafiri wa chai maharage kuanza ilikua ni mwaka gani?
nakumbuka kuzikutia mwishoni mwishoni.....
Sent using Jamii Forums mobile app