Nnakumbuka mtaa wa Zanaki na Libya kuna Daktari mwanamke wa.Kihindi tukienda kutibiwa, Akisha kupima tu pipi.
Hivi kwanini siku hizi madaktari hawatumii "stethoscope"? Sijawahi kwenda hospital enzi hizo bila kupimwa joto na "thermometer" na bila kupimwa kitua na "stethoscope".
Hivi madaktari wa siku hiz bado wanatumia "stethoscope" kila mkienda kupimwa au wanazinweka show tu shingoni?